Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha...
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani
(IMF) Tao Zhang aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam
kwa ajili ya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha
Duniani (IMF) Tao Zhang aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao Zhang
aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsindikiza mgeni wake Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha
Duniani (IMF) Tao Zhang mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na mgeni wake Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa
Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao Zhang wanne kutoka (kushoto) Gavana
wa Benki Kuu (BOT) Profesa Beno Ndulu, wapili kutoka kulia, Waziri wa
Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango watatu kutoka kushoto pamoja na
ujumbe wa Mkurugenzi huyo wa IMF.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao Zhang
mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. (PICHA
NA IKULU)
COMMENTS