MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA MEI 29, 2017

Baadhi ya wabunge wakiwa na Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba  wakiwa na Kombe la Ubingwa la Shirikisho (FA CUP...



Baadhi ya wabunge wakiwa na Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba  wakiwa na Kombe la Ubingwa la Shirikisho (FA CUP) waliloshinda baada ya kuwafunga Mbao Fc kwa jumla ya goli 2 -1 katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo Mei 29, 2017.
Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba Kutoka Jijini Dar es Salaam wakiwa Bungeni Mjini Dodoma leo Mei 29, 2017.
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Mhe. Job Ndugai akiingia Bungeni kwa ajili ya kuongoza kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
  Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe akijibu maswali mbalimbali kwa niaba ya Waziri wa Katiba na Sheria katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Ajira Vijana na watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29,2017
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
Mbunge wa Mtwara Vijijini (CCM) Mhe. Hawa Ghasia akiuliza swali katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
 
Naibu Waziri wa Afya maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Ajira Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama wakijadiliana jambo na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Godbless Lema katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Mbunge wa Kalambo Mhe. Josephat Kandege akiuliza swali katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Ajira Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama wakijadiliana jambo na Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt Agustine Maige akiwasilisha makadirio ya Bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa 2017/2018 katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
 
Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Ritha Kabati akiuliza swali katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA MEI 29, 2017
MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA MEI 29, 2017
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhR8u3QvikvLtetiLnxLoZJMakMazkcAO8J7ttIrHZGfwwzF_2mLsitqb6p1MhhZ1ShSz6xWffHyb0R1Jb5kplZNIlxMX5FEpRGuHOeh4p4zc05NwxW76AiJj5PPTxJyd34kGLo2LVseug/s640/Pix+18.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhR8u3QvikvLtetiLnxLoZJMakMazkcAO8J7ttIrHZGfwwzF_2mLsitqb6p1MhhZ1ShSz6xWffHyb0R1Jb5kplZNIlxMX5FEpRGuHOeh4p4zc05NwxW76AiJj5PPTxJyd34kGLo2LVseug/s72-c/Pix+18.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/matukio-bungeni-mjini-dodoma-mei-29-2017.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/matukio-bungeni-mjini-dodoma-mei-29-2017.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy