SPIKA WA BUNGE AKAGUA VIKOSI VYA TIMU YA BUNGE LA JMT NA TIMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wa pili kulia) wakati akikagua...

unnamed
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wa pili kulia) wakati akikagua kikosi cha timu ya netball ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dhidi ya timu ya netball ya Bunge la Wawakilishi Zanzibar, katika mchezo uliochezwa leo katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
A
Mchezaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwenye jezi ya rangi ya bluu bahari, akifunga goli dhidi ya timu ya Bunge la Wawakilishi Zanzibar, katika mchezo wa netball uliochezwa leo katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
A 1
Wachezaji wa timu ya netball ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (jezi ya rangi ya bluu bahari), wakipambana na wachezaji wa Bunge la Wawakilishi Zanzibar (jezi orange), katika mchezo wa netball uliochezwa leo katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SPIKA WA BUNGE AKAGUA VIKOSI VYA TIMU YA BUNGE LA JMT NA TIMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR
SPIKA WA BUNGE AKAGUA VIKOSI VYA TIMU YA BUNGE LA JMT NA TIMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2017/04/unnamed-41.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/spika-wa-bunge-akagua-vikosi-vya-timu.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/spika-wa-bunge-akagua-vikosi-vya-timu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy