MIAKA 53 YA MUUNGANO; TUULINDE NA KUIMARISHA, TUPIGE VITA DAWA ZA KULEVYWA NA KUFANYA KAZI KWA BIDII

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwa mnamo tarehe 26 Aprili, 1964 kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (inayojumuisha Visiwa vya Pe...



Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwa mnamo tarehe 26 Aprili, 1964 kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (inayojumuisha Visiwa vya Pemba na Unguja). Tanganyika ilikuwa ni mwendelezo wakoloni la Ujerumani, utawala wa Waingereza kwa Mamlaka ya Umoja wa Mataifa, Himaya ya Umoja wa Mataifa chini ya utawala wa Uingereza na mwisho Taifa huru kuanzia mwaka 1961 ndani ya nchi za Jumuiya ya Madola.

Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ziliingia mkataba wa Muungano mnamo mwaka 1964 na kuanzishwa Dola ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mkataba huu wa Muungano ulitiwa saini na aliyekuwa Rais wa Tanganyika, Hayati Mwalimu Julius Nyerere na aliyekuwa Rais wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume tarehe 22 Aprili 1964 huko Zanzibar. Mkataba huo ulithibitishwa na Bunge la Tanganyika na Baraza la Mapinduzi hapo tarehe 26 Aprili, 1964 na mnamo tarehe 27 Aprili, 1964, viongozi wa nchi zote mbili walikutana katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam na kubadilishana Hati za Muungano. Sheria za Muungano zilitoa tamko la Jamhuri ya Muungano katika Ibara ya 4 kwamba:
“Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar zitalazimika, baada ya kuungana na siku zote baada ya kuungana, kuunganishwa kuwa Dola ya Jamhuri kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar’ (Ibara ya 4 Sheria za Muungano)”

Jina hili la “Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar” lilibadilishwa baadae mnamo tarehe 28 Oktoba, 1964 na kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupitia Sheria ya Jamhuri ya Muungano, Sheria namba 61 ya mwaka 1964.

Kauli Mbiu ya sherehe za kutimiza miaka 53 ya Muungano huu wa Tanganyika na zanzibar ni Watanzania Tuulinde na kuuimarisha,Tupige vita dawa za Kulevya na kufanya kazi kwa Bidii

TUKIUTAFAKARI MUUNGANO WETU TUWAENZI WAASISI WETU KWA JUHUDI NA MISIMAMO DHIDI YA MASHIRIKA YETU YA UMMA TUAANZA NA TTCL TUNARUDI NYUMBANI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS MAGUFULI KUFUFUA MASHIRIKA YA UMMA.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MIAKA 53 YA MUUNGANO; TUULINDE NA KUIMARISHA, TUPIGE VITA DAWA ZA KULEVYWA NA KUFANYA KAZI KWA BIDII
MIAKA 53 YA MUUNGANO; TUULINDE NA KUIMARISHA, TUPIGE VITA DAWA ZA KULEVYWA NA KUFANYA KAZI KWA BIDII
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh4S7G6WRjNy8gx4Nl_2kROocsM9t3ihJGzozXdTXVVKOumYXHDClNPtHyN5P2LQR-lBtDNn88waEVhsliMj4-7RLdoSDrqi96REeWl_faCyTXXptVXs1k0eTWJFEEz_KvX2XqUAihTnmE/s640/IMG-20170426-WA0002.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh4S7G6WRjNy8gx4Nl_2kROocsM9t3ihJGzozXdTXVVKOumYXHDClNPtHyN5P2LQR-lBtDNn88waEVhsliMj4-7RLdoSDrqi96REeWl_faCyTXXptVXs1k0eTWJFEEz_KvX2XqUAihTnmE/s72-c/IMG-20170426-WA0002.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/miaka-53-ya-muungano-tuulinde-na.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/miaka-53-ya-muungano-tuulinde-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy