STARTIMES YASHEREKEA VALENTINE NA WATEJA WAKE DAR ES SALAAM LEO

Meneja masoko wa Starmedia Group Tanzania, Felix Awino akiongea na wana habari wakati wa hafla y akukabidhi zawadi kwa washindi wa promosh...

Meneja masoko wa Starmedia Group Tanzania, Felix Awino akiongea na wana habari wakati wa hafla y akukabidhi zawadi kwa washindi wa promosheni yake ya ' Ni Valentine's na Startimes' jijini Dar es Salaam leo. Pamoja naye ni Meneja Uhusiano na Masoko, Juma Sharobaro, Afisa Maudhui Paulina Kimweri (kushoto) na Afisa Masoko Msaidizi Pauline Kaka. (Picha zote na Robert Okanda Blogspot) 


Meneja Uhusiano na Masoko wa Starmedia Group Tanzania, Juma Sharobaro akiwakabidhi wanandoa Alex Kaneno na Viriola Moshishada la mauwa wakati wa hafla ya kuwapongeza na kuwatambulisha kwa waandishi wa habari sehemu ya washindi wa promosheni yake ya ' Ni Valentine's na Startimes' jijini Dar es Salaam leo.

Meneja Uhusiano na Masoko wa Starmedia Group Tanzania, Juma Sharobaro akiwakabidhi wanandoa Noel Milanzi na Aurelia Mdidime shada la mauwa wakati wa hafla ya kuwapongeza na kuwatambulisha kwa waandishi wa habari sehemu ya washindi wa promosheni yake ya ' Ni Valentine's na Startimes' jijini Dar es Salaam leo.

Meneja Uhusiano na Masoko wa Starmedia Group Tanzania, Juma Sharobaro (wa tatu kushoto) akiwakabidhi wanandoa Alex Kaneno na Viriola Moshi shada la mauwa na Meneja masoko wa Starmedia Group Tanzania, Felix Awino (wa tatu kulia) akiwakabidhi wanandoa Alex Kaneno na Viriola Moshishada la mauwa wakati wa hafla hiyo, jijini Dar es Salaam leo.

Wanandoa Alex Kaneno na Viriola Moshi wakiwa tayari kwa mahojiano na waandishi wa habari. 


Na Mwandishi Wetu.
Kampuni ya StarTimes Tanzania inasheherekea siku ya wapendanao na wateja wake kupitia promosheni yake ya “Ni valentine’s na Startimes”   ambayo iliendeshwa kwa mwezi mzima.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo  meneja  masoko wa StarTimes Tanzania Mr.Felix Awino  amesema kuwa startimes inasherehekea siku hii kwa kuwazawadia wapenzi kupata chakula cha jioni na malazi hoteli ya kisasa kwa siku ya tarehe 14th ambapo kwa Dar es salaam watapata malazi Seascape na kwa mikoani itakuwa Malaika (mwanza) Usungilo (Mbeya) Palace (Arusha) na Morena (Dodoma).

“Tunafuraha kusherehekea siku ya wapendanao na wateja kwa kuwa karibu nao  kama sehemu ya upendo wetu kwao kwa kuwapa promotion na maudhui  yanayoendana na wakati. Tutaendelea kuwapa vitu vyenye ubora kila uchao”

Startimes inatoa bidhaa na huduma mbalimbali ikiwemo huduma ya kingamuzi,televisheni ya kidigitali,simu na huduma ya kulipia kifurushi.Tutaendelea kuwapa wateja huduma za kisasa na zinazoendana na wakati kulingana na ukuaji wa teknolojia na mahitaji ya wateja.

Tunajivunia kuwapa bidhaa zenye ubora wa hali ya juu ambazo mteja ataridhika huku akipata huduma zinazoridhisha na kumpa mteja bei nafuu ili kufurahia ulimwengu wa kidigitali.  

14TH February, 2017

STARTIMES CELEBRATES VALENTINE’S DAY WITH CUSTOMER.
Star Times Tanzania today is celebrating valentine day with their customers who paid for their bouquet through a special promotion called “Ni Valentines na StarTimes”. That ran for one month

Speaking during occasion StarTimes Tanzania marketing Manager Mr. Felix Awino said that this promotion winning couples enjoy dinner and accommodation at Seascape(Dar es Salaam) Malaika (mwanza) Usungilo (Mbeya) Palace (Arusha) Morena (Dodoma) for a valentine treat for the night of 14th.

“We are happy to spread the joy of gifting our customers with special deals, better content and great promotion like the one for Valentine’s Day, we hope to continuously get close to our customers by providing superior experience at every touch point”

StarTimes offers a wide portfolio of product and services such as decoder services, Digital Television, Smart phones and subscription services. As a company our duty is to ensure that our customer is provided with latest and exciting content which goes with their immediate need.  Technology is growing day by day and we are working hard to serve the public and giving them great programs of their interest in the easiest way.

We pride ourselves in providing high quality and satisfactory service to our customer via a transparent and competitive prices which is affordable and suit with life standard of the people in order to make all people to enjoy   digital life. Once again we wish all our customers a Valentine’s Day 2017.

………………..MORE……………….

ABOUT STARTIMES TANZANIA
Startimes, also as a brand names of star Media (Tanzania) Limited, is a technology company that was established in 1988 in China. Pioneer and key player in digital television solution in China and Africa. We are currently operating in 10 African countries,Nigeria,Tanzania,Kenya,Rwanda,Uganda,Guinea, Central Africa Republic,Burundi,Mozambique,Senegal and we are working on providing our network in more than 20 countries.

Our vision is to enable every household to have access to digital TV, afford digital TV, watch good digital TV and enjoy the beauty of digital TV.

CONTACT:
Mr., Juma Suluhu
Public Relations and Marketing Manager, Startimes Tanzania
TEL: 255758828277
EMAIL:tangjy@startimes.com.cn




COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: STARTIMES YASHEREKEA VALENTINE NA WATEJA WAKE DAR ES SALAAM LEO
STARTIMES YASHEREKEA VALENTINE NA WATEJA WAKE DAR ES SALAAM LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEijHfEBDD5X36ycoKuXPwZZuqsbVlbh8z-3qsIoXZLxrPW_S3A_M8-dkSuOU0zk5-rGMUA6Od-1yLcgZ7tacQCs0TObtjeRUPwiiHe1WID0O1WdHqtMrrq45Eyee2n5I-6LSeIksFD6hDM/s640/S1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEijHfEBDD5X36ycoKuXPwZZuqsbVlbh8z-3qsIoXZLxrPW_S3A_M8-dkSuOU0zk5-rGMUA6Od-1yLcgZ7tacQCs0TObtjeRUPwiiHe1WID0O1WdHqtMrrq45Eyee2n5I-6LSeIksFD6hDM/s72-c/S1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/02/startimes-yasherekea-valentine-na.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/02/startimes-yasherekea-valentine-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy