MADAKTARI BINGWA WA MARADHI YA MOYO WA 'SAVE A CHILD HEART' KUTOKA ISRAEL WAPO ZANZIBAR KUWAFANYIA VIPIMO WATOTO WANAOSUMBULIWA NA MARADHI HAYO

Waziri wa Afya wa Zanzibar, Mhe. Mahmoud Thabi Kombo akipata maelezo kutoka kwa Dkt. Alona Roucher kuhusu matatizo ya moyo yanayomka...

Waziri wa Afya wa Zanzibar, Mhe. Mahmoud Thabi Kombo akipata maelezo kutoka kwa Dkt. Alona Roucher kuhusu matatizo ya moyo yanayomkabili Muslim Muhd Ali kutoka mtaa wa Jangombe ambae ni mmoja kati ya watoto watakaopelekwa Israel kwa matibabu.
Waziri wa Afya, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na madaktari wa maradhi ya moyo kutoka Israel ambao wapo nchini kuwafunyia uchunguzi watoto wenye maradhi hayo ambao baadhi watapelekwa Israel kufanyiwa upasuaji.
Dkt. Yifat Brosh kutoka Shirika la Save a Child Heart la Israel akimfanyia vipimo mmoja ya watoto wanaosumbuliwa na maradhi ya moyo katika Hospitali Kuu ya Mnazimmoja.
Baadhi ya wazazi wakiwa Hospitali Kuu ya Mnazimmoja wakisubiri zamu za kuwapeleka watoto wao kufanyiwa uchunguzi na madaktari bingwa wa moyo kutoka nchini Israel. (Picha zote na Makame Shenga-Maelezo).

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MADAKTARI BINGWA WA MARADHI YA MOYO WA 'SAVE A CHILD HEART' KUTOKA ISRAEL WAPO ZANZIBAR KUWAFANYIA VIPIMO WATOTO WANAOSUMBULIWA NA MARADHI HAYO
MADAKTARI BINGWA WA MARADHI YA MOYO WA 'SAVE A CHILD HEART' KUTOKA ISRAEL WAPO ZANZIBAR KUWAFANYIA VIPIMO WATOTO WANAOSUMBULIWA NA MARADHI HAYO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgKAYiUVoq0ixLQaWn9w9XKD0NMMtApSCacDwf0XDvq5P4L-vo_kGJDJvVIuYpiPSyNfVKE8RhSkD3E_jA3ZAvOklus0esTX7DTyZLb04lkm_QL1nKETSPO7JTmedUbO4_o5KHYclkuSbg/s640/unnamed.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgKAYiUVoq0ixLQaWn9w9XKD0NMMtApSCacDwf0XDvq5P4L-vo_kGJDJvVIuYpiPSyNfVKE8RhSkD3E_jA3ZAvOklus0esTX7DTyZLb04lkm_QL1nKETSPO7JTmedUbO4_o5KHYclkuSbg/s72-c/unnamed.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/02/madaktari-bingwa-wa-maradhi-ya-moyo-wa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/02/madaktari-bingwa-wa-maradhi-ya-moyo-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy