MKUU WA CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA HUBERT KAIRUKI ANOGESHA MAHAFALI YA KUMI NA TATU YA CHUO HICHO

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, Dkt. Salim Ahmed Salim, akimtunuku   muhitimu wa Kozi ya Digrii ya U...



Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, Dkt. Salim Ahmed Salim, akimtunuku  muhitimu wa Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Dar es Salaam,  Beatrice Mugula  ambaye ni Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) juzi.


  Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Beatrice Mugula akiwa katika pozi mara baada ya kuhitimu
 
 
 













Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, Dkt. Salim Ahmed Salim akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya HKMU, John Ulanga.

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, Dkt. Salim Ahmed Salim akigana na Mke wa Mwasisi wa HKMU, Mama Kokushubira Kairuki.

 

  Muhitimu wa Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Mwanaidi Nyalukunyo akiwa katika pozi
Muhitimu wa Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Mwanaidi Nyalukunyo akiwa na tabasamu



 Baadhi ya wahitimu wa Kozi ya Uuguzi wakila Kiapo
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, Dkt. Salim Ahmed Salim, akimtunuku  muhitimu wa Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Dar es Salaam,  Beatrice Mugula  ambaye ni Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, Dkt. Salim Ahmed Salim, akimkabidhi cheti  muhitimu wa Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Beatrice Mugula  ambae ni Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
 Beatrice Mugula, akiwapa mikono baadhi ya viongozi waliopo meza kuu mara baada ya kuhitimu Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) katika Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki
   Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Beatrice Mugula akivaa kofi yake mara baada ya kuhitimu Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work)

Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam, Beatrice Mugula (wa pili kulia) akiwa na wenzake akipiga makofi mara baada ya kuhitimu Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) 

  Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Beatrice Mugula akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuhitimu Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) katika  Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki

 Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Beatrice Mugula akiwa katiki pozi na muhitimu mwenzake wa fani hiyo, Mwanaidi Nyalukunyo



   Muhitimu wa Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Mwanaidi Nyalukunyo akiwa katika picha ya pamoja na familia yake



COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MKUU WA CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA HUBERT KAIRUKI ANOGESHA MAHAFALI YA KUMI NA TATU YA CHUO HICHO
MKUU WA CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA HUBERT KAIRUKI ANOGESHA MAHAFALI YA KUMI NA TATU YA CHUO HICHO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgHYXUywVvjJsP3Emsrk-kq8O4Uc6cHN_u1VCDgyryB-R6W1Ey5XsRHUTuFFVe9fnICKHRaM1JJBR-h2Aga1u0Sx2Tq8qic9Tz00qlFkYU39_2_S_d31ac4RcZYw6W1rdTTepRkrKekcrRW/s640/5+%25286%2529.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgHYXUywVvjJsP3Emsrk-kq8O4Uc6cHN_u1VCDgyryB-R6W1Ey5XsRHUTuFFVe9fnICKHRaM1JJBR-h2Aga1u0Sx2Tq8qic9Tz00qlFkYU39_2_S_d31ac4RcZYw6W1rdTTepRkrKekcrRW/s72-c/5+%25286%2529.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/11/mkuu-wa-chuo-kikuu-cha-kumbukumbu-ya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/11/mkuu-wa-chuo-kikuu-cha-kumbukumbu-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy