MAMA SAMIA AFUNIKA ILEMELA NA NYAMAGANA MKOANI MWANZA

Mwananchi akiwa kwenye kilele cha jiwe, ili kumuona mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan wakati wa ...






Mwananchi akiwa kwenye kilele cha jiwe, ili kumuona mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Ilemela mkoani Mwanza



 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Viwanja vya Nyabogoya, eneo la Butimba, Jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza.

Wananchi wakimshangilia Mama Samia Suluhu Hassan wakati akihutubia maelfu ya wananchi hao waliofurika
kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika Viwanja vya Nyabogoya, eneo la Butimba, Jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza.


 Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM Kitaifa, Christopher Ole Sendeka, katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika leo katika Viwanja vya Nyabogoya,
eneo la Butimba, Jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza.


Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita maarufu kwa jina la Msukuma, akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni wa Mama Samia Suluhu Hassan katika Viwanja vya Nyabogoya, eneo la Butimba, Jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza.

Kada wa CCM, Paul Makonda akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika leo katika Viwanja vya Nyabogoya, eneo la Butimba, Jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza.

Kijana akiwa na Kufuli, kumpamba Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Magufuli, katika mkutano wa kampeni Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika Viwanja vya Nyabogoya, eneo la Bitimba, Jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza.

Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana ambaye ni Kaimu Mkuu wa mkoa wa Mwanza Baraka Konisaga, akihutubia mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika leo katika Viwanja vya Nyabogoya, eneo la Butimba Jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza. Konisaga amewataka wananchi wa mkoa wa Mwanza kutokuwa na hofu wakati wa kampeni zinazoendelea na wakati wa uchaguzi, kwa kuwa serikali katika mkoa huo imejiandaa kuhakikisha shughuli hizo zinafanyika na kumalizika kwa amani na utulivu.

Baadhi ya viongozi wa CCM, wakiwa meza kuu wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza

Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan aliphutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Ilemela mkoani Mwanza

Wananchi wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM Kitaifa, Christopher Ole Sendeka alipohutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Ilemela  mkoani Mwanza.




Baadhi ya wanachi wakiwa kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Ilemela mkoani Mwanza

Wananchi wakiwa wamefurika kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofayika katika jimbo la Ilemela mkoani Mwanza

Bango la Mgombea Ubunge jimbo la Ilemela, Angeline Mabula

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akisistiza jambo wakati akihutubia mktano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Ilemela mkoani Mwanza

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Ilemela Angeline Mabula, katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo.

Vijana wakiwa kwenye pikipiki zao wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Ilemela mkoani Mwanza

Mwenyekiti wa CCM, mkoa wa Mwanza maarufu kwa jina la Msukuma, akiwa na Kada wa CCM, Paul Makonda na Christopher Ole Sendeka wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Ilemela mkoani Mwanza. (PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAMA SAMIA AFUNIKA ILEMELA NA NYAMAGANA MKOANI MWANZA
MAMA SAMIA AFUNIKA ILEMELA NA NYAMAGANA MKOANI MWANZA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjdRTr9tnRswVZdON2ulGsd5I5c-BoJUMngr0evxaRAyhhTJLzyh2MHDmFmi5SbZKiH41VBYVxBJ62YqMLm3co8DSXXuwIEF7hY2smRTLpBfGhhE4gscVVcRx8uBLcBCrl8KJgMFo28rdM/s640/DSC_0304.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjdRTr9tnRswVZdON2ulGsd5I5c-BoJUMngr0evxaRAyhhTJLzyh2MHDmFmi5SbZKiH41VBYVxBJ62YqMLm3co8DSXXuwIEF7hY2smRTLpBfGhhE4gscVVcRx8uBLcBCrl8KJgMFo28rdM/s72-c/DSC_0304.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/10/mama-samia-afunika-ilemela-na-nyamagana.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/10/mama-samia-afunika-ilemela-na-nyamagana.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy