NEWS ALERT: MRAMBA NA YONA JELA MGONJA AAACHWA HURU

Mawaziri wa awamu ya tatu, Basili Mramba (aliyeketi) na Daniel Yona akipanda kwenye gari baada ya mahakama ya Kisutu kuwahukumu miaka...






Mawaziri wa awamu ya tatu, Basili Mramba (aliyeketi) na Daniel Yona akipanda kwenye gari baada ya mahakama ya Kisutu kuwahukumu miaka mitatu jela Dar es Salaam leo.

Mawaziri wa awamu ya tatu, Basili Mramba (kushoto) na Daniel Yona baada ya kuhumiwa kwenye makama ya Kisutu Dar es Salaam leo.

Gray Mgonja (wa pili kulia) akipongezwa baada ya kuachiwa huru.



MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam, imewatia hatiani na kuwahukumu kifungo cha miaka 3 kila mmoja jela aliyekuwa Waziri wa zamani wa Wizara ya Fedha, Basil Mramba na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona huku ikimwachia huru Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Gray Mgonja walikuwa wanakabiliwa na mashtaka ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia serikali hasara ya Shilingi bilioni 11.7.

Mgonja amechiwa huru baada ya Mahakama hiyo kushindwa kumtia hatiani. Mbali na kifungo hicho cha miaka 3 jela pia Mramba na Yona wanatakiwa kulipa faini ya shilingi mioni 5 kila mmoja. 

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NEWS ALERT: MRAMBA NA YONA JELA MGONJA AAACHWA HURU
NEWS ALERT: MRAMBA NA YONA JELA MGONJA AAACHWA HURU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjGHvc6DZhDSTSe_D1NfoVoPC63QK0OEJPEHmZnOog77xBRZC3Gohio9H2nqv0Dp1lacXUMtM5txvT0rOn4WAzX0xSGtwIWUXl0L8d_SQEZ9CYQwNdCya7HhRLpU-f2FkpiRqEm5V0YeyVi/s640/Mramba+na+Yona.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjGHvc6DZhDSTSe_D1NfoVoPC63QK0OEJPEHmZnOog77xBRZC3Gohio9H2nqv0Dp1lacXUMtM5txvT0rOn4WAzX0xSGtwIWUXl0L8d_SQEZ9CYQwNdCya7HhRLpU-f2FkpiRqEm5V0YeyVi/s72-c/Mramba+na+Yona.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/07/news-alert-mramba-na-yona-jela-mgonja.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/07/news-alert-mramba-na-yona-jela-mgonja.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy