Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Memba (katikati) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Adam...
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe.
Peter Kallaghe akijaza fomu ya Mpango wa Uchangiaji wa Hiari, anayeshuhudia ni
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF Abdul Njaidi.
|
Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Balozi John Haule akipata maelezo juu ya PSPF kutoka kwa Meneja Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa PSPF Costantina Martin |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula kipata maelezo
juu ya michango katika PSPF kutoka kwa Afisa wa PSPF Easter Jorry.
|
Meneja Mawasiliano, Masoko na Uenezi,
Costantin Martin akitoa mada ya Mfuko kwa waheshimiwa mabalozi wa Tanzania
wanaiwakilisha katika nchi mbalimbali.
|
COMMENTS