MJUMBE WA HALMASHAURI KUU CHADEMA, JAFARY MICHAEL AFUNGUA MATAWI MAPYA MOSHI

Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chadema na meya wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi katika kata...





Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chadema na meya
wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi katika kata ya Longuo mjini Moshi.
Ofisi mpya ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kata ya Longuo B.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chadema taifa na meya wa manispaa ya Moshi, Jafary Michael akikata utepe kufungua ofisi mpya ya kata ya Longuo B.
Meya Michael akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kufungua ofisi ya kata ya Chadema.
Katibu wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro Basil Lema akitia saini katika kitabu cha wageni wakati wa ufunguzi wa ofisi ya Kata ya Longuo B.
Diwani wa kata ya Longuo B, Ray Mboya akitia saini katika kitabu hicho.
Baadhi ya makada wa Chadema manispaa ya Moshi wakishuhudia zoezi hilo.
Ofisi mpya ya Chadema kata ya, Longuo Manispaa ya Moshi ikafunguliwa rasmi.

(Na Dixon Busagaga wa globu ya Jamii kanda ya Kaskazini.)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MJUMBE WA HALMASHAURI KUU CHADEMA, JAFARY MICHAEL AFUNGUA MATAWI MAPYA MOSHI
MJUMBE WA HALMASHAURI KUU CHADEMA, JAFARY MICHAEL AFUNGUA MATAWI MAPYA MOSHI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjYNTRHOo0gXSNaZZz4qSN1OUT1OETqwCETet0gN-C0VwxyARl2k5ArFmNT5u3irlM3dVqZePrDpUm4eic_cXPQl-h6I8Wp0hyphenhyphenYbHGWZYhQK4DnrsD-4wd_Lq8onGpu9vVQG2XSH40qEzPj/s640/DSCF5413+%2528800x600%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjYNTRHOo0gXSNaZZz4qSN1OUT1OETqwCETet0gN-C0VwxyARl2k5ArFmNT5u3irlM3dVqZePrDpUm4eic_cXPQl-h6I8Wp0hyphenhyphenYbHGWZYhQK4DnrsD-4wd_Lq8onGpu9vVQG2XSH40qEzPj/s72-c/DSCF5413+%2528800x600%2529.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/05/mjumbe-wa-halmashauri-kuu-chadema.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/05/mjumbe-wa-halmashauri-kuu-chadema.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy