RAIS KIKWETE AONGOZA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA KAPTENI JOHN DAMIANO KOMBA

Jeneza lenye mwili wa aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, Marehemu Kapt...








Jeneza lenye mwili wa aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, Marehemu Kapteni John Komba likiwa kwenye viwanja vya Karimjee, jijini Dar es salaam,wakati wa shughuli ya kuaga.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI NA EMMANUEL MASSAKA.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo. Kapteni Komba anatarajiwa kuzikwa kijijini Kwake Litui wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma.
Makamu wa Rais,Dkt. Mohamed Gharib Bilal na wake zake Mama Asha na Mama Zakhia wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba, Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
 Rais mstaafu wa awamu ya pili, Alhaj Dk Ali Hassan Mwinyi akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
 Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamin Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba, Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
 Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba, mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.

Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiifariji familia ya marehemu.
 Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Luteni Kanali Samuel Ndomba akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba, mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera na Uratibu wa Bunge, Mh. Jenista Mhagama akitoa heshima za mwisho akifuatana na Naibu IGP, Abdulrahman Kaniki na Katibu wa Bunge, John Joel.
 Kingunge Ngombale–Mwiru akitoa heshima za mwisho.
Kamanda Suleiman Kova akitoa heshima zake.
Baadhi wa Waheshimiwa Wabunge wakiifariji familia ya Marehemu.
Mhe. Christopher Ole Sendeka Mbunge wa Simanjiro akibubujikwa na machozi kuondokewa na Mbunge mwenzake.
Familia ya Marehemu.

Watoto wa Marehemu Kapteni John Komba wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu baba yao.
Mjane wa Marehemu,Kapteni John Komba,Mama Salome Komba akiaga mwili wa mumewe
Khadija Kopa.
Umati wa viongozi mbali mbali pamoja na wananchi wakiwa kwenye viwanja vya Karimjee,jijini Dar es salaam wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu Kapteni John Komba.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera na Uratibu wa Bunge, Mh. Jenista Mhagama akitoa salamu za Serikali wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu Kapteni John Komba, Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, Mh. Saidi Mtanda akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya Kamati yake.


Mbunge wa Arumeru Mashariki, Mhe. Joshua Nassari akiwamwakilisha Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB) na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kutoa salam wakati wa hafla hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Mhe. Joshua Nassari akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB), pia Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.


Rais Dkt. Jakaya Kikwete akizungumza jambo na Mh. Joshua Nassari. Kushoto ni Makamu wa Rais, Dkt Mohamed Gharib Bilal na Mama Salma Kikwete, Mke wa Rais.


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahiman Kinana akitoa salam za rambirambi.


Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Abdulrahman Kinana akitoa salamu za Chama.
Mh. Profesa Sospeter Muhongo akitoka kuaga mwili wa Kapteni Komba.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamin Mkapa akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Abdulrahman Kinana. Kushoto ni Spika wa Bunge, Mhe. Anne Makinda.
Mama Regina Lowassa (kulia) akizungumza jambo na Mama Sophia Kawawa.
Rais mstaafu Mhe. Benjamin Mkapa akizungumza jambo na Mh. Anne Makinda, Spika wa Bunge





Mjane wa Marehemu.
































COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS KIKWETE AONGOZA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA KAPTENI JOHN DAMIANO KOMBA
RAIS KIKWETE AONGOZA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA KAPTENI JOHN DAMIANO KOMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEigFIiU9SQHQqiWhdVj3tGHVIJsKbtjK0XG7h8Sco0Hl6zvHJyqQi-8qTTIq6TXSpS3SXT3QJtL_zX_H2h8xi3xdvK1U2kBO1j7dBRrZ6i8HccGYYQAdBWx1cZ0lwEuT62ifD4c__ovIQo/s1600/MMGL0723.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEigFIiU9SQHQqiWhdVj3tGHVIJsKbtjK0XG7h8Sco0Hl6zvHJyqQi-8qTTIq6TXSpS3SXT3QJtL_zX_H2h8xi3xdvK1U2kBO1j7dBRrZ6i8HccGYYQAdBWx1cZ0lwEuT62ifD4c__ovIQo/s72-c/MMGL0723.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/rais-kikwete-aongoza-maelfu-ya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/rais-kikwete-aongoza-maelfu-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy