WAZIRI MKUU PINDA NA WAJUMBE MBALIMBALI WA BUNGE LA KATIBA LEO MJINI DODOMA Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, W...
WAZIRI MKUU PINDA NA WAJUMBE MBALIMBALI WA BUNGE LA KATIBA LEO MJINI DODOMA
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Mohamed Raza
(kushoto) na Ally Juma Othman Ally wakibadilishana mawazo
katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 4, 2014.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Ally
Juma Othman Ally kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Septemba 4, 2014.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimana na Meya wa Songea, Charles
Mhagama, viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 4, 2014. Katikati
ni Mbunge wa Songea mjini, Dkt Emmanuel Nchimbi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
COMMENTS