MAZOEZI YA WAREMBO WA SHINDANO LA MISS TEMEKE YAPAMBA MOTO. Warembo wanaotarajia kushiriki mashindano ya Redd's M...
MAZOEZI YA WAREMBO WA SHINDANO LA MISS TEMEKE YAPAMBA MOTO.
Warembo
wanaotarajia kushiriki mashindano ya Redd's Miss Temeke, wakipozi
wakati wa mazoezi katika Klabu ya TCC, Chang'ombe, Dar es Salaam.
Mashindano yatafanyika kwenye klabu hiyo, Agosti 22, mwaka huu.
PICHA ZOTE NA MDAU KHAMIS MUSSA |
COMMENTS