LAKE GAS WAZINDUA BIDHAA MPYA NI YA KIPEKEE NA IMEZINGATIA USALAMA KWA JAMII YOTE

LAKE GAS WAZINDUA BIDHAA MPYA, NI YA KIPEKEE NA IMEZINGATIA USALAMA KWA JAMII YOTE . Kamishna Msaidizi wa Nishati katika Wizara ya Nishat...

LAKE GAS WAZINDUA BIDHAA MPYA, NI YA KIPEKEE NA IMEZINGATIA USALAMA KWA JAMII YOTE.
Kamishna Msaidizi wa Nishati katika Wizara ya Nishati na Madini, Bwana Norbert Kahyoza (kulia) na Mmiliki pia Mkurungenzi Mkuu wa Kampuni ya Lake Oil, Bwana Ally Edha Awadh wakiwa na mtungi mpya wa gesi wakati wa uzinduzi wa bidhaa hiyo Dar es Salaam juzi.




Mmiliki pia Mkurungenzi Mkuu wa Kampuni ya Lake Oil, Bwana Ally Edha Awadh akongea na wanahabari baada ya uzinduzi wa bidhaa hiyo Dar es Salaam juzi. Kwa mujibu wa Awadh, Mitungi hiyo ni miepesi, na yenye kuonyesha kiwango cha gesi iliyobaki, hailipuki bila sababu, na haina madhara kwa mazingira.

Msanii Shaa (kushoto) na kundi lake wakitoa burudani katika hafla hiyo.

Msanii Shaa (kushoto) na kundi lake wakitoa burudani katika hafla hiyo.



Msanii Shaa akitoa burudani katika hafla hiyo.

Kamishna Msaidizi wa Nishati katika Wizara ya Nishati na Madini, Bwana Norbert Kahyoza (kulia) mmiliki na Mkurungenzi Mkuu wa Kampuni ya Lake Oil, Bwana Ally Edha Awadh wakiwa na mtungi mpya wa gesi wakati wa uzinduzi wa bidhaa hiyo Dar es Salaam juzi. Kamishna alipongeza jitihada za kampuni hiyo na kuhimiza upinzani wa kibiashara lakini pia kutoa nafasi za ajira ambazo itaongezea pato la Taifa.

Mmiliki pia Mkurungenzi Mkuu wa Kampuni ya Lake Oil, Bwana Ally Edha Awadh katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi na wadau walihohudhuria hafla hiyo

Mmiliki pia Mkurungenzi Mkuu wa Kampuni ya Lake Oil, Bwana Ally Edha Awadh akiongea kuwashukuru wageni na mgeni rasmi katika hafla hiyo.

Mmiliki pia Mkurungenzi Mkuu wa Kampuni ya Lake Oil, Bwana Ally Edha Awadh (katika), Kamishna Msaidizi wa Nishati katika Wizara ya Nishati na Madini, Bwana Norbert Kahyoza (kushoto) na Mmoja wa wakurugenzi wa kampuni hiyo, Bwana Khaled Hassan Mohamed wakiwa katika uzinduzi huo.

Mmoja wa wakurugenzi wa kampuni hiyo, Bwana Khaled Hassan Mohamed (kushoto) akibadilishana mawazo na Meya wa Manispaa ya Ilala, Mhe. Jerry Silaa alipohudhuria hafla hiyo. Katikati ni Mmiliki pia Mkurungenzi Mkuu wa Kampuni ya Lake Oil, Bwana Ally Edha Awadh (katikati)

Baadhi ya wageni waliohudhuria hafla hiyo.

Baadhi ya wageni waliohudhuria hafla hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na mmiliki na pia Mkurungenzi Mkuu wa Kampuni ya Lake Oil, Bwana Ally Edha Awadh (wa tatu kulia) .

Mkurugenzi Mtendaji wa Lake Oil Ltd, Bwana Kurra Choundry akiongea katika hafla hiyo. Alisema kuwa sifa za mitungi hiyo zitamfanya mtumiaji afurahie licha ya muonekano wake.

Baadhi ya wageni walihouhudhuria hafla hiyo. 
Kwa mawasiliano nao tuma ujumbe kwa admin@lakeoilgroup.com na nambari 0715303880.
----------------------------------------------------------------------

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: LAKE GAS WAZINDUA BIDHAA MPYA NI YA KIPEKEE NA IMEZINGATIA USALAMA KWA JAMII YOTE
LAKE GAS WAZINDUA BIDHAA MPYA NI YA KIPEKEE NA IMEZINGATIA USALAMA KWA JAMII YOTE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjTtpTV_TGJoOTXdunTcDvvGv7zXTlGi_9yFrxXPCEav7WgNJ_u04i1wNv9aVxAOuTlceGe3KX1yluO4Mx5minJfNYBTUiz3u5g2MINFsC1WaoVPad6uhX6Swc74xRICX9GiV-L9-8T1Ys/s1600/MWEPESI.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjTtpTV_TGJoOTXdunTcDvvGv7zXTlGi_9yFrxXPCEav7WgNJ_u04i1wNv9aVxAOuTlceGe3KX1yluO4Mx5minJfNYBTUiz3u5g2MINFsC1WaoVPad6uhX6Swc74xRICX9GiV-L9-8T1Ys/s72-c/MWEPESI.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2014/06/lake-gas-wazindua-bidhaa-mpya-ni-ya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2014/06/lake-gas-wazindua-bidhaa-mpya-ni-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy