BINTI WA KINAIGERIA ANTHONIA OJO ANASWA NA KETE 99 ZA UNGA JNIA DAR LEO

JITIHADA ZA KUREJESHA HESHIMA KWA VIWANJA VYA NDEGE NCHINI ZILIZOANZISHWA NA WAZIRI WA UCHUKUZU DK. HARISSON MWAKYEMBE ZINAONEKANA KUZAA MAT...

JITIHADA ZA KUREJESHA HESHIMA KWA VIWANJA VYA NDEGE NCHINI ZILIZOANZISHWA NA WAZIRI WA UCHUKUZU DK. HARISSON MWAKYEMBE ZINAONEKANA KUZAA MATUNDA BAADA YA MWANADADA KUTOKA NCHINI NIGERIA ANTHONIA OJO (25) KUKAMATWA NA KETE 99 ZA MADAWA YA KULEVYA DAR ES SALAAM LEO.
Zifuatazo ni picha mbalimbali za tukio zima la kunaswa kwa mtuhumiwa huyo ambapo anashikiliwa na polisi kwa uchunguzi zaidi wakati kete hizo zimepelekwa kwa ofisi ya Mkemia Mkuu kwa uchunguzi zaidi. 

ANTHONIA OJO AKIWASILI KITUO CHA POLISI CHA JNIA BAADA KUKAMATWA.


Anthonia Ojo (25) Raia wa Nigeria akiwa na kete 99 za madawa ya kulevya baada ya kukamatwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam jana, akieleke Roma Italia kupitia Paris Ufaransa kwa ndege ya Ethiopian Airways. Msichana huyo aliingia hapa nchini Agosti 30 akitokea Nigeria. Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Viwanja vya Ndege, Renatus Chalya, Ojo anaendelea kubaki chini ya ulinzi wa polisi kwa uchunguzi zaidi, wakati madawa hayo yamepelekwa kwa ofisi ya mkemia Mkuu wa Serikali ili kubaini aina ya dawa hizo, thamani yake na hatimaye atafikisha mahakamani.


ANTHONIA OJO AKIWA CHINI YA ULINZI AKISINDIKIZWA KUPANDA GARI LA POLISI KUTOKEA ENEO MLANGO WA KUWASILI ABIRIA JNIA LEO.

ANTHONIA OJO AKIELEKEA KWENYE GARI BAADA YA KUKAMATWA

PASPORT YAKE

HILO NDO BEGI MADAWA HAYO YALIKUWEMO


AKIZITOA KWENYE MIKEBE YA POWDER NA SHAMPOO 

SEHEMU YA KETE 99 ALIZOKAMATWA NAZO.

HUYO NDO ANTHONIA OJO AKIWA KITUO CHA POLISI
SAMPULI AINA MBILI TOFAUTI
SAMAPULI HII ILIKUWA KWENYE MKEBE WA SHAMPOO
RECORD ZA ANTHONIA ALIWAHI KUJA TENA MWAKA 2011

MADAWA HAYO YAKIRUDISHWA KWENYE VYOMBO BAADA YA KUONESHWA KWA WANAHABARI.







COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BINTI WA KINAIGERIA ANTHONIA OJO ANASWA NA KETE 99 ZA UNGA JNIA DAR LEO
BINTI WA KINAIGERIA ANTHONIA OJO ANASWA NA KETE 99 ZA UNGA JNIA DAR LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj4oF7YEoWbI1EF2caTe0ul8Yzz3MrmOiGIwEmCx9O4PwNFjvACaFl5ePdDUgEtHBVxd_CQUtwndr9d_MhEKDzmtIqN3Wdr1z8wDu-VI9AZynPHuyXx7F9_nNr5gcP9BqC9hT89WUyMR9g/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj4oF7YEoWbI1EF2caTe0ul8Yzz3MrmOiGIwEmCx9O4PwNFjvACaFl5ePdDUgEtHBVxd_CQUtwndr9d_MhEKDzmtIqN3Wdr1z8wDu-VI9AZynPHuyXx7F9_nNr5gcP9BqC9hT89WUyMR9g/s72-c/1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2013/09/binti-wa-kinaigeria-anthonia-ojo-anaswa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2013/09/binti-wa-kinaigeria-anthonia-ojo-anaswa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy