MFANYABIASHARA MAARUFU NCHINI SUBHASH PATEL AZINDUA SHOWROOM YA PIKIPIKI ZA HERO DAR ES SALAAM MGENI rasmi mfanyabiashara maarufu...
|
Wana habari pamoja na wageni wakiwa katika hafla hiyo. |
|
Wageni wakiwa na baadhi ya wafanyakazi katika hafla hiyo. |
|
MGENI rasmi Subhash Patel akiongea ambapo kuunga mkono uzinduzi huo alinunua pikipiki 10 kwa ajili ya wafanyakazi wake. Kutoka (kushoto) ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni hiyo, Kishore Musale, Mkurugenzi Mtendaji, Sameer Musale. |
|
Wana habari wakiwa katika hafla hiyo. |
|
MGENI rasmi Subhash Patel akibadilishana mawazo na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni
hiyo, Kishore Musale (kushoto) pamoja na wakurugenzi wa Kampuni hiyo, Sameer Musale (wa pili kulia), Salil Musale. Kulia ni Afisa Uhusiano wa kampuni hiyo, Bwana Mukeshi. |
COMMENTS