Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiweka jiwe la msingi katika hospitali ya wilaya ya Namtumbo ambalo ujenzi wake unaendelea. ...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiweka
jiwe la msingi katika hospitali ya wilaya ya Namtumbo ambalo ujenzi wake
unaendelea.
|
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na mmoja wa wazee wa Minazini wilayani Namtumbo
Said Kawanya kabla ya kufungua machinjio ya kisasa yaliyojengwa na Halmashauri
ya wilaya hiyo.
|
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akimsikiliza meneja wa Tanesco mkoa wa Ruvuma, Mhandisi
Stephen Manda mara baada ya kufungua kituo cha kuzalisha umeme wilayani Namtumbo.
|
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Akiangalia
ubora wa tumbaku inayolimwa wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma.
|
Akiangalia
kazi za mikono zinazofanywa na akina mama wa kata ya Lituhi wilaya ya Nyasa
mara baada ya kuwasili katika kata hiyo imkiwa ni muendelezo wa ziara yake
mkoani Ruvuma.
|
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akialimiana na Leah Kayombo, Mke wa Mbunge wa Mbinga
Mashariki, Gaudence Kayombo baada ya kuwasili mjini Mbinga akitoka Nyasa.
|
COMMENTS