MAKAMU WA RAIS DK. AHUDHURIA SHEREHE ZA KUSIMIKWA ASKOFU MPYA WA KANISA LA KKKT DAYOSISI YA KUSINI MASHARIKI YA ZIWA VICTORIA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia waumini wa Dini ya Kikristo wakati wa ghafla  y...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia waumini wa Dini ya Kikristo wakati wa ghafla ya kuwekwa wakfu Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Viktoria Mchungaji Emmanuel Joseph Makala na kuzinduliwa kwa Dayosisi hiyo mpya  ya Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria iliyofanyika jana katika kanisa la Ebeneza  Shinyanga mjini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza Askofu mpya wa Kanisa la Kiinjili  la Kilutheri Tanzania (KKKT)  Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Viktoria  Emannuel Joseph Makala, baada ya kuwekwa wakfu na kuzinduliwa kwa Dayosisi  hiyo katika Kanisa la Ebeneza  Shinyanga mjini Mei 5, 2013. Katikati  ni Askofu Mkuu KKKT Tanzania, Dk. Alex Malasusa.
 Askofu mpya wa Kanisa la Kiinjili  la Kilutheri Tanzania (KKKT)  Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Viktoria Mchungaji  Emannuel Joseph Makala akiwa na wazazi na ndugu wa karibu baada ya kuwekwa wakfu.
Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na familia ya Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Viktoria Mchungaji Emmanuel Joseph Makala, baada ya kuwekwa wakfu.
Makamu wa Rais wa Tanzania Dt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Viktoria, Emmanuel Joseph Makala, baada ya kuwekwa wakfu. (Picha na OMR)


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS DK. AHUDHURIA SHEREHE ZA KUSIMIKWA ASKOFU MPYA WA KANISA LA KKKT DAYOSISI YA KUSINI MASHARIKI YA ZIWA VICTORIA.
MAKAMU WA RAIS DK. AHUDHURIA SHEREHE ZA KUSIMIKWA ASKOFU MPYA WA KANISA LA KKKT DAYOSISI YA KUSINI MASHARIKI YA ZIWA VICTORIA.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiEzQSZ_AoVEi_b7kL9rYwMSRHacujuO4m6Zi0EUnqfHNvbldWnzJ7c732KEoensBCSWJ0Xn2GHnKXH5a8TBbpu754LSk-Nf_D7hWtD8q509TCSM-UgZKgsP26j6QnF5pLpR2TQUfU2ajc/s640/01-777352.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiEzQSZ_AoVEi_b7kL9rYwMSRHacujuO4m6Zi0EUnqfHNvbldWnzJ7c732KEoensBCSWJ0Xn2GHnKXH5a8TBbpu754LSk-Nf_D7hWtD8q509TCSM-UgZKgsP26j6QnF5pLpR2TQUfU2ajc/s72-c/01-777352.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2013/05/fwd-makamu-wa-rais-dkt-ahudhuria.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2013/05/fwd-makamu-wa-rais-dkt-ahudhuria.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy