KUTOKA MTWARA, Nyumba ya Mkuchika inawaka moto-Newala, Gereza lavamiwa wafungulia wafungwa.

  Taarifa za redio mbao ambazo hazijathibitishwa na Mamlaka yeyote hadi hivi sasa  ni kwamba wananchi wanaendelea kufanya uh...





 Taarifa za redio mbao ambazo hazijathibitishwa na Mamlaka yeyote hadi hivi sasa  ni kwamba wananchi wanaendelea kufanya uharibifu mkubwa huko ambapo naambiwa wamevamia gereza wakafungulia wafungwa na kisha kupiga moto gereza. Polisi wamezidiwa na wamejifungia kituoni wanarusha mabomu yao tokea huko walikojificha maana nje hakutamaniki. Na wameshateketeza nyumba ya mama Anna Abdallah.

Kikao cha dharura cha kamati ya ulinzi na usalama kinaendelea kwa kuwashirikisha maafisa wa polisi na maafisa usalama waliotoka Dar es Salaam kuongezea nguvu. Maaskari na makachero wamewasili  Mtwara leo asubuhi na helkopta kuongezea nguvu.
                  source

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KUTOKA MTWARA, Nyumba ya Mkuchika inawaka moto-Newala, Gereza lavamiwa wafungulia wafungwa.
KUTOKA MTWARA, Nyumba ya Mkuchika inawaka moto-Newala, Gereza lavamiwa wafungulia wafungwa.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhce4iEkVJ71fDDM3SNBE-paKlC7hDidAutO8BI0yQD5W6SP8hAzLd7GS9NfpiIjT9IKKRkNFULHzWAbz4kw8cpmT8bQfpMt-1YO3gSeEqrs_Ynp4BUwkIJcK69qzl8vRhOdwuul93ns78/s640/269213_476914359038096_1830678592_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhce4iEkVJ71fDDM3SNBE-paKlC7hDidAutO8BI0yQD5W6SP8hAzLd7GS9NfpiIjT9IKKRkNFULHzWAbz4kw8cpmT8bQfpMt-1YO3gSeEqrs_Ynp4BUwkIJcK69qzl8vRhOdwuul93ns78/s72-c/269213_476914359038096_1830678592_n.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2013/01/kutoka-mtwara-nyumba-ya-mkuchika.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2013/01/kutoka-mtwara-nyumba-ya-mkuchika.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy