JAJI MKUU CHANDE, SPIKA MAKINDA WAONGOZA MAHAKAMA NA BUNGE KUTOA MAONI KATIBA MPYA

-BUNGE Spika akiongea Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda akiongea katika mkutano na Tume ya Mab...

-BUNGE Spika akiongea
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda akiongea katika mkutano na Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo (Jumatatu, Jan 14, 2013) ambapo mhimili huo wa dola uliwasilisha maoni yake kwa Tume kuhusu Katiba Mpya. Wengine ni watumishi wa Bunge walioongozana naye.


-Mahakama Jaji Mkuu akiongea -
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman (kushoto) akitoa maoni ya Mahakama katika mkutano na Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Jan 14, 2013). Wengine kutoka kulia ni Wajumbe wa Tume, Makamau Mwenyekiti wa Tume na Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani, Prof. Mwesiga Baregu, Bi. Raya Suleiman Hamad na Bi. Jessica Mkuchu.
-Mahakama Jaji Warioba akiongea -
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba (kulia) akiongea na ujumbe wa Mahakama ukiongozwa na Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman (kushoto) uliofika katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Jan 14, 2013) kuwasilisha maoni ya mhimili huo wa dola kuhusu Katiba Mpya.
-Mahakama Jaji Mkuu na Prof. Baregu -
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman (kushoto) akiongozwa na Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Prof. Mwesiga Baregu kutoka nje ya ukumbi katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam mara baada ya kumalizika kwa mkutano kati ya Tume na Mahakama uliolenga kupata maoni ya mhimili huo kuhusu Katiba Mpya. Mkutano huo ulifanyika leo (Jumatatu, Jan 14, 2013).
-Mahakama Jaji Mkuu akiwa Hansard -
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman (wa pili kushoto) na Majaji wengine kutoka Mahakama ya Tanzania wakimsikiliza Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bi. Hanifa Masaninga akiwaeleza kuhusu uaandaaji wa maoni ya wananchi na kuwa katika mfumo wa taarifa rasmi (hansard) wakati Majaji hao walipotembelea ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Jan 14, 2013).
- Mwenyekiti akiongea -
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba (katikati) akiongea katika mkutano uliolenga kupata maoni ya wadau wa ulinzi kuhusu Katiba Mpya. Kulia ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na kushoto ni Mjumbe wa Tume na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim.
(Picha na Tume ya Katiba)
















COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: JAJI MKUU CHANDE, SPIKA MAKINDA WAONGOZA MAHAKAMA NA BUNGE KUTOA MAONI KATIBA MPYA
JAJI MKUU CHANDE, SPIKA MAKINDA WAONGOZA MAHAKAMA NA BUNGE KUTOA MAONI KATIBA MPYA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgKmCL0sMs5EyoBIk9RHTYoSuFqs11oH4xFhOUek-yWOdD27BB4GdMYBkC-Gn9xH1rpYcE04X3VIDz_iPOZPzBiSighZOGSzm0rmBk5qLBDq9C4_5La6FSxJV_ydRlP04mSp52baJdhVTyR/s400/CRC-BUNGE+Spika+akiongea-779771.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgKmCL0sMs5EyoBIk9RHTYoSuFqs11oH4xFhOUek-yWOdD27BB4GdMYBkC-Gn9xH1rpYcE04X3VIDz_iPOZPzBiSighZOGSzm0rmBk5qLBDq9C4_5La6FSxJV_ydRlP04mSp52baJdhVTyR/s72-c/CRC-BUNGE+Spika+akiongea-779771.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2013/01/fw-jaji-mkuu-chande-spika-makinda.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2013/01/fw-jaji-mkuu-chande-spika-makinda.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy