Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Cuba, Jorge Luis Lopez (kushoto), alipofika Ofisi Ndogo ya ...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Cuba, Jorge Luis Lopez (kushoto), alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kumuaga kufuatia kumalizika kwa mda wake wa kazi hapa nchini.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Cuba, Jorge Luis Lopez (kushoto), alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kumuaga kufuatia kumalizika kwa mda wake wa kazi hapa nchini. (Picha na Bashir Nkoromo-MAKAO MAKUU YA CCM).
COMMENTS