GARI LA MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA SADIF LAFUMUA PIKIPIKI DAR

GARI LA LA MWENYEKITI WA UMOJA WA VIJANA  CCM TAIFA (UVCCM), JUMA KHAMIS SADIF LIKISOGEA PEMBENI BAADA YA KUGONGANA NA MWENDESHA PIKIPIK...


GARI LA LA MWENYEKITI WA UMOJA WA VIJANA  CCM TAIFA (UVCCM), JUMA KHAMIS SADIF LIKISOGEA PEMBENI BAADA YA KUGONGANA NA MWENDESHA PIKIPIKI MARCH 24 2013 KWENYE MAKUTANO YA BARABARA ZA MANDELA NA NYERERE DAR ES SALAAM.
MWENDESHA PIKIPIKI AKINGALIA CHOMBO CHA HUKU AKIWA WASIWASI

WASAMARIA WEMA WAKIMSOGEZA PEMEBENI MWENDESHA PIKIPIKI
HAPO AKIWA NA KIWEWE HUKU AMELALA CHINI KUSUBIRI MSAADA

MSAFARI WA VIONGOZI KUTOKA CHINA ULIKUWA UKIPITA MUDA HUOHUO WA AJALI

MWENYEKITI HUYO AKIANGALIA WALIOMSAIDI MWENDESHA PIKIPIKI HUYO
MWENDESHA PIKIPIKI AKIPUMZIKA KABLA YA KUPAKIWA KWENYE GARI LA POLISI NA KUPATIWA FOMU YA KWENDA KUPATA MATIBABU
HAPO MH. SADIF AKISUBIRI BAADA YA AJALI
MWENYEKITI WA UMOJA WA VIJANA  CCM TAIFA, JUMA KHAMIS SADIF AKITOA MAELEZO KWA TRAFIK BAADA YA AJALI


MWENDESHA PIKIPIKI AKIWA NDANI YA GARI LA POLISI AKISUBIRI KUANDIKIWA FOMU 3

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: GARI LA MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA SADIF LAFUMUA PIKIPIKI DAR
GARI LA MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA SADIF LAFUMUA PIKIPIKI DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjs_sB7T9Ao8b2KGqEz8LX8g1VbGVOXTDoxlVmkrYqeydjZCCbC-x5soRU-sRgv_2Plsd02dJPymcm587VwVsFB1_DmD1BLVAxctk_WO99yxE2E6xXtPw31loUNKIBTVDqvepWF1OEJsDs/s640/DSC_0834.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjs_sB7T9Ao8b2KGqEz8LX8g1VbGVOXTDoxlVmkrYqeydjZCCbC-x5soRU-sRgv_2Plsd02dJPymcm587VwVsFB1_DmD1BLVAxctk_WO99yxE2E6xXtPw31loUNKIBTVDqvepWF1OEJsDs/s72-c/DSC_0834.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2013/03/gari-la-mwenyekiti-wa-uvccm-taifa-sadif.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2013/03/gari-la-mwenyekiti-wa-uvccm-taifa-sadif.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy