DKT. SHEIN ATEMBELEA TV YA SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR (ZBC)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali...






Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati), akitoa maelekezo kwa uongozi wa Televisheni ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, (ZBC TV), leo Septemba 21, 2016, alipofanya ziara maalum ya kutembelea kituo cha kurushia matangazo ya TV, Karume House pia kutembelea sehemu mbali mbali katika kituo hicho, akiwepo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utalii, Utamaduni na Michezo, Omar Hassan Omar (wa tano kulia). (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR).
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa utayarishaji wa Vipindi vya ZBC Tv, Halima Mselem (katikati) wakati alipotembelea moja ya Ofisi za ZBC TV katika kituo cha kurushia matangazo Karume House leo akiwa katika ziara maalum.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mhariri Mkuu wa ZBC Tv Nd,Suleiman Almasi (wa pili kushoto) wakati alipotembelea chumba cha Habari (News Room) leo  akiwa katika ziara maalum ya kutembelea kituo cha kurushia matangazo ya TV Karume House.   
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akimuuliza jambo Kaimu Fundi Mkuu wa ZBC TV Nd,Mwadini Ame (kulia) wakati alipotembelea Studio ya kurikodia vipindi mbali mbali akiwa katika ziara maalum katika kituo cha kurushia matangazo ya TV Karume House leo,(wa pili kulia) Mkurugenzi wa ZBC TV Nd,Iman Duwe na (kushoto) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee
Mtangazji wa Habari wa ZBC TV Nd,Khamis Fakih (kulia) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati alipotembelea moja  ya studio za kusomea Taarifa mbali mbali muhimu ikiwemo taarifa za Habari katika kituo cha Karume House leo alipofanya ziara maalum, akiwa na Ujumbe wake akiwemo Katibu Mkuu wa baraza la Mapinduzi pia katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee (wa pili kulia) katibu Mkuu Wizara ya habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Nd.Omar Hassan Omar(wa tatu kushoto)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) wakati alipotembelea moja  ya studio za kusomea Taarifa mbali mbali muhimu ikiwemo taarifa za Habari katika kituo cha Karume House leo alipofanya ziara maalum, akiwa na Ujumbe wake akiwemo Katibu Mkuu wa baraza la Mapinduzi pia katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee (wa pili kulia) katibu Mkuu Wizara ya habari,Utalii,Utamaduni na Michezo, Omar Hassan Omari (wa tatu kushoto).

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: DKT. SHEIN ATEMBELEA TV YA SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR (ZBC)
DKT. SHEIN ATEMBELEA TV YA SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR (ZBC)
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh96GUY4ybepiyHKaB-vpXYyaZRPYtFml94tVfUPTneHWFqI7unNeH_ka6r93nXUu_l3FF_96nd7tnbIy2PCUBszS80hnyZRK0wb1dK9xYb7XwVbeoITafD_HTBGRODMac9sOGfqhX7RDM/s640/DSC_7562.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh96GUY4ybepiyHKaB-vpXYyaZRPYtFml94tVfUPTneHWFqI7unNeH_ka6r93nXUu_l3FF_96nd7tnbIy2PCUBszS80hnyZRK0wb1dK9xYb7XwVbeoITafD_HTBGRODMac9sOGfqhX7RDM/s72-c/DSC_7562.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/09/dkt-shein-atembelea-tv-ya-shirika-la.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/09/dkt-shein-atembelea-tv-ya-shirika-la.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy