SIMBA CEMENT YAIPIGA JEKI SHULE YA MSINGI MIKANJUNI

  Meneja Kiwanda wa Kampuni ya Saruji Tanga (Simba Cement), Mhandisi Ben Lema (wa tatu kulia), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifu...







 
Meneja Kiwanda wa Kampuni ya Saruji Tanga (Simba Cement), Mhandisi Ben Lema (wa tatu kulia), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 160 ya saruji kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mikanjuni ya mjini Tanga, Grayso Mnyumba kusaidia kuboresha mazingira ya shule, katika hafla iliyofanyika eneo la kiwanda, Pongwe, Tanga mwishoni mwa wiki. Wengine ni wafanyakazi wa saruji na kutoka  shule ya Mikanjuni. Kampuni hiyo kupitia mpango wake wa kusaidia jamii (CSR) kwa mwaka huu imeshatumia kiasi cha shs 46,651,120 kusaidia katika maeneo ya elimu, afya, maendeleo ya jamii na mazingira sehemu mbalimbali nchini. 

Meneja Usalama na Mazingira wa Kampuni ya Saruji Tanga (Simba Cement), Leon Breedt (wa pili kulia), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 160 ya saruji kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mikanjuni ya mjini Tanga, Grayso Mnyumba, kusaidia uboreshaji wa mazingira ya shule, katika hafla iliyofanyika eneo la kiwanda, Pongwe, Tanga mwishoni mwa wiki. Wengine ni wafanyakazi wa saruji na kutoka shule ya Mikanjuni. Kampuni hiyo kupitia mpango wake wa kusaidia jamii (CSR) kwa mwaka huu imeshatumia kiasi cha shs 46,651,120 kusaidia katika maeneo ya elimu, afya, maendeleo ya jamii na mazingira sehemu mbalimbali nchini. 

Meneja Uzalishaji wa Kampuni ya Saruji Tanga (Simba Cement), Isaack Mandara (wa tatu kulia), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 160 ya saruji kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Shule ya Msingi Mikanjuni ya mjini Tanga, Hassani Mohamedi Zuberi kusaidia uboreshaji wa mazingira ya shule, katika hafla iliyofanyika eneo la kiwanda, Pongwe, Tanga mwishoni mwa wiki. Wengine ni wafanyakazi wa saruji na kutoka shule ya Mikanjuni. Kampuni hiyo kupitia mpango wake wa kusaidia jamii (CSR) kwa mwaka huu imeshatumia kiasi cha shs 46,651,120 kusaidia katika maeneo ya elimu, afya, maendeleo ya jamii na mazingira sehemu mbalimbali nchini.  
  
  

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Saruji Tanga (Simba Cement), Samuel Shoo (wa tatu kulia), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 160 ya saruji kwa mwalimu wa afya wa Shule ya Msingi Mikanjuni ya mjini Tanga, Ndeshi Lema, kusaidia uboreshaji wa mazingira ya shule, katika hafla iliyofanyika eneo la kiwanda, Pongwe, Tanga mwishoni mwa wiki. Wengine ni wafanyakazi wa saruji na wa shule ya Mikanjuni. Kampun hiyo kupitia mpango wake wa kusaidia jamii (CSR) kwa mwaka huu imeshatumia kiasi cha shs 46,651,120 kusaidia katika maeneo ya elimu, afya, maendeleo ya jamii na mazingira sehemu mbalimbali nchini.

Ofisa Masoko na Mawasiliano wa Kampuni ya Saruji Tanga (Simba Cement), Hellen Maleko, akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 160 ya saruji kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mikanjuni ya mjini Tanga, Grayso Mnyumba kusaidia uboreshaji wa mazingira ya shule, katika hafla iliyofanyika eneo la kiwanda, Pongwe, Tanga mwishoni mwa wiki. Wengine ni wafanyakazi wa saruji na wa shule ya Mikanjuni. Kampuni hiyo kupitia mpango wake wa kusaidia jamii (CSR) kwa mwaka huu imeshatumia kiasi cha shs 46,651,120 kusaidia katika maeneo ya elimu, afya, maendeleo ya jamii na mazingira sehemu mbalimbali nchini.  
 
 


 








COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SIMBA CEMENT YAIPIGA JEKI SHULE YA MSINGI MIKANJUNI
SIMBA CEMENT YAIPIGA JEKI SHULE YA MSINGI MIKANJUNI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhe0-gzBJBeXG3KAfVdj5dADKCiFsUDIJsRL0A_qnHif3pA7V18OoQ5K9H8sQgZtPc4u0Km-KG5ZI7Ag38KAlxyjDzOjs-U6smbe9GV2ogKrHdp3f5r4oZjnrcav09VYaaGn8kOmdNAt9LD/s640/01.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhe0-gzBJBeXG3KAfVdj5dADKCiFsUDIJsRL0A_qnHif3pA7V18OoQ5K9H8sQgZtPc4u0Km-KG5ZI7Ag38KAlxyjDzOjs-U6smbe9GV2ogKrHdp3f5r4oZjnrcav09VYaaGn8kOmdNAt9LD/s72-c/01.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/09/simba-cement-yaipiga-jeki-shule-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/09/simba-cement-yaipiga-jeki-shule-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy