NEWS ALERT; RAIS KIKWETE ASEMA WACHA PROFESA TIBAIJUKA ATUPISHE, PROFESA MUHONGO AWEKWA KIPORO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemwachisha kazi Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka wakati akimweka k...




Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemwachisha kazi Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka wakati akimweka kiporo Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kwa madai kwamba tume ya maadili na taasis nyingine zinaendelea na uchunguzi.

(Picha na Freddy Maro)
'Atupe nafasi tumteuwe mwingine' alisema Rais Kikwete
Aliyasema hayo wakati wa Mkutano wake na Wazee wa Dar es Salaam uliofanyika kwenye ukumbi wa Diamond jubilee jijini leo alasiri.


Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo. (Picha na Robert Okanda)

Rais Kikwete pia amesema Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi atachukuliwa hatua iwapo tume ya maadili na taasis za Takukuru zitabaini kuhusika na ukiukwaji wa maadili ya watumishi wa umma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka akibadilishana mawazo na Katibu Muhtasi mstaafu wa Mwalimu Julius Nyerere, Samuel Kasori baada ya mjadala wa Bunge la Disemba hivi karibuni. (Picha na Robert Okanda)




COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NEWS ALERT; RAIS KIKWETE ASEMA WACHA PROFESA TIBAIJUKA ATUPISHE, PROFESA MUHONGO AWEKWA KIPORO
NEWS ALERT; RAIS KIKWETE ASEMA WACHA PROFESA TIBAIJUKA ATUPISHE, PROFESA MUHONGO AWEKWA KIPORO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiW5OO7fQfhew_ZzIj6iWql12HwEmqM0wN5LojD9-D1inkwq7qwikkshZ8e7fOwgiYIWB5iAY_RwxTk69XS4mI1wXQg7D5qBiJBIvkQuNem0SXnzUuLZJWku-VQl1uy_z94ev6508x1xmEh/s1600/5+-+Copy.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiW5OO7fQfhew_ZzIj6iWql12HwEmqM0wN5LojD9-D1inkwq7qwikkshZ8e7fOwgiYIWB5iAY_RwxTk69XS4mI1wXQg7D5qBiJBIvkQuNem0SXnzUuLZJWku-VQl1uy_z94ev6508x1xmEh/s72-c/5+-+Copy.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2014/12/news-alert-rais-kikwete-asema-wacha.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2014/12/news-alert-rais-kikwete-asema-wacha.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy