BONDIA MOHAMED MATUMLA KUMVAA KOBA DONATI IDI PILI BAGAMOYO

  Na Mwandishi Wetu BONDIA Mohamed Matumla anatarajia kupanda tena ulingoni siku ya Idi pili katika ukumbi wa TASUBA u...




 
Na Mwandishi Wetu

BONDIA Mohamed Matumla anatarajia kupanda tena ulingoni siku ya Idi pili katika ukumbi wa TASUBA uliopo Bagamoyo Mkoa wa Pwani kupambana na Koba Nodat katika uzito wa KG 57 mpambano wa raundi sita. Matumla anapambana mpambano huo baada ya mpambano wake wa mwisho kumtwanga Mchina kwa point. Mratibu na promota wa mpambano huo, Muhsin Sharif amesema mbali na mpambano huo kutakuwa na mapambano mengine ya utangulizi litawakutanisha bondia Iddi Pialali kutoka Kiwangwa Bagamoyo na Meshack Mwankemwa kutoka Mbeya mpambano wa raundi nane Kg 66 wakati bondia machachari katika tasnia ya mchezo wa masumbwi nchini Vicent Mbilinyi atavaana na Khalidi Hongo mpambano wa raundi nne wakati Twalibu Tuwa atavaana na Sudi Sudi

Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
Floyd Mayweathar, Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez, Mike Tyson, Mohamed Ali, Ferex Trinidad, Miguel Cotto na wengine wengi

Pia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuhamasisha

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BONDIA MOHAMED MATUMLA KUMVAA KOBA DONATI IDI PILI BAGAMOYO
BONDIA MOHAMED MATUMLA KUMVAA KOBA DONATI IDI PILI BAGAMOYO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhUCwukIX9Z31X59b46Agka_jzMBz16mYlwnf2coXuveCsOR9wH5M96gFhiWttyM45mT6KJ4zg58PApe1J7FkWz0ZRvTCmq2ydK75ICWNcWZwq2zyUIRic_PcpvuxbrouSU_arzvCTOFX8/s640/SHARI+copy.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhUCwukIX9Z31X59b46Agka_jzMBz16mYlwnf2coXuveCsOR9wH5M96gFhiWttyM45mT6KJ4zg58PApe1J7FkWz0ZRvTCmq2ydK75ICWNcWZwq2zyUIRic_PcpvuxbrouSU_arzvCTOFX8/s72-c/SHARI+copy.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/07/bondia-mohamed-matumla-kumvaa-koba.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/07/bondia-mohamed-matumla-kumvaa-koba.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy