Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli na mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wakiwa wam...
 |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli na mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wakiwa wamejumuika na waumini wengine katika Ibada ya Jumapili ya Matawi katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es Salaam leo Machi 25, 2018 |
 |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli na mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wakiwa wamejumuika na waumini wengine katika Ibada ya Jumapili ya Matawi katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Machi 25, 2018 |
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli na mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wakitakiana amani na Masista wa Kanisa Katoliki walipojumuika na waumini wengine katika Ibada ya Jumapili ya Matawi katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es Salaam leo Machi 25, 2018 |
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli akishukuru baada ya kupokea sakramenti takatifu wakati wa Ibada ya Jumapili ya Matawi katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Machi 25, 2018. Pamoja naye ni mkewe, Mama Janeth Magufuli.
|
 |
| Rais Dkt John Magufuli akisalimiana na wananchi baada ya kushiriki Ibada ya Jumapili ya Matawi katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es Salaam leo Machi 25, 2018 |
COMMENTS