DKT NDUGULILE AFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA,AKAGUA NA KUTOA MAELEKEZO UPATIKANAJI WA DAWA KWA BAADHI YA VITUO VYA AFYA

Naibu Waziri Wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile aliyevaa shati la drafti akikagua na kutoa maelekez...Naibu Waziri Wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile aliyevaa shati la drafti akikagua na kutoa maelekezo juu ya upatikanaji wa dawa katika baadhi ya vituo vya afya katika Wilaya ya Meru wakati wa ziara yake mkoani Arusha.

Naibu Waziri Wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile aliyevaa shati la drafti akiwajulia hali baadhi ya wagonjwa katika vituo vya afya katika Wilaya ya Meru wakati wa ziara yake mkoani Arusha.

Naibu Waziri Wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile wa pili kulia akisikiliza maelezo kutoka kwa Mganga Mkuu wa Wilaya ya Meru Dkt. Cosmas Kilasara wa kwanza kulia kwenye moja ya jengo la Hospitali ya Wilaya ya Meru mkoani Arusha.PICHA NA ALLY DAUD-WIZARA YA AFYA MERU ARUSHA


Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Cha Maendeleo ya Jamii Tengeru TICD wakitoa chngamoto na maswali kwa Naibu Waziri Wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile hayupo pichani wakati alipotembelea chuo hiko katika ziara yake mkoani Arusha.

Naibu Waziri Wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile katikati akipata maelezo kutoka kwa mmoja ya mtumishi wa Chuo Cha Maendeleo ya Jamii cha Tengeru (TICD) wakati alipotembelea chuo hiko katika ziara yake mkoani arusha.

Naibu Waziri Wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile katikati akionyeshwa mpaka wa Chuo Cha Maendeleo ya Jamii Tengeru TICD wakati alipotembelea chuo hiko katika ziara yake mkoani Arusha

Baadhi ya Watumishi wa Chuo Cha Maendeleo ya Jamii Tengeru TICD wakimsikiliza kwa makini Naibu Waziri Wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile hayupo pichani wakati alipotembelea chuo hiko katika ziara yake mkoani Arusha.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: DKT NDUGULILE AFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA,AKAGUA NA KUTOA MAELEKEZO UPATIKANAJI WA DAWA KWA BAADHI YA VITUO VYA AFYA
DKT NDUGULILE AFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA,AKAGUA NA KUTOA MAELEKEZO UPATIKANAJI WA DAWA KWA BAADHI YA VITUO VYA AFYA
https://1.bp.blogspot.com/-Ht_NKTTzynA/WjS6EpxpUuI/AAAAAAAJ-QU/O5owaLHSXZ42gWvL6YwqDjsl4syWktlowCLcBGAs/s640/7.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-Ht_NKTTzynA/WjS6EpxpUuI/AAAAAAAJ-QU/O5owaLHSXZ42gWvL6YwqDjsl4syWktlowCLcBGAs/s72-c/7.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/dkt-ndugulile-afanya-ziara-mkoani_16.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/dkt-ndugulile-afanya-ziara-mkoani_16.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy