MASAJU ATEULIWA TENA KUWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

Na Father Kidevu Blog, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk John Pombe Magufuli   amemteua  Bwana Georg...


Na Father Kidevu Blog,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk John Pombe Magufuli  amemteua  Bwana George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Akizungumza na waandishi wa habari Ikulu, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amesema Rais Dk.John Magufuli ameyafanya uteuzi huo, katika siku yake ya kwanza ya kuingia ofisini Ikulu jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kuapishwa kushika wadhifa huo. 

Itakumbukwa kuwa , Ijumaa, Januari 2, 2015 huu Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alimteua Masaju kushika wadhifa huo kwa mara ya kwanza baada ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Mwanasheria wa Serikali, George Werema.

Mwanasheria Mkuu huyo ataapishwa kesho Ijumaa Novemba 6, 2015, Ikulu, Dar es Salaam.

Masaju  alipata kuwa mshauri wa Sheria wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na baade kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali .

Katia hatua Nyingine, Rais Dk John Pombe Magugufuli  ameitisha Bunge la 11 ambapo wabunge watakutana mjini Dodoma Novemba 17 na Novemba 19 atapeleka jina la Waziri Mkuu ambae atamteua kwa ajili ya kuidhinishwa na Bunge hilo.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MASAJU ATEULIWA TENA KUWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
MASAJU ATEULIWA TENA KUWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEijhi6eCJ8sP8pc_-_EEKjOhHRxyEMyJvnGCctWvGeZJTRuErSs888lpRw0-oKJdstqfhTaxUM-tVqf-beVZObRPaf3WDZgDJXnsaVEfR_3VS9MAKkiLIRUVfg7dW5qGFV64xXYXJnJL3k/s640/masaju.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEijhi6eCJ8sP8pc_-_EEKjOhHRxyEMyJvnGCctWvGeZJTRuErSs888lpRw0-oKJdstqfhTaxUM-tVqf-beVZObRPaf3WDZgDJXnsaVEfR_3VS9MAKkiLIRUVfg7dW5qGFV64xXYXJnJL3k/s72-c/masaju.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/11/masaju-ateuliwa-tena-kuwa-mwanasheria.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/11/masaju-ateuliwa-tena-kuwa-mwanasheria.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy