PSPF KUPITIA PSS YAZIDI KUCHIMBA HADI MIZIZI KATIKA KUFANIKISHA KUWAFIKIA WANANCHI KWA URAHISI

PSPF KUPITIA PSS YAZIDI KUCHIMBA HADI MIZIZI KATIKA KUFANIKISH A KUWAFIKIA WANANCHI KWA URAHISI  Afisa mfuko wa pensheni wa PSPF Ha...

PSPF KUPITIA PSS YAZIDI KUCHIMBA HADI MIZIZI KATIKA KUFANIKISHA KUWAFIKIA WANANCHI KWA URAHISI

 Afisa mfuko wa pensheni wa PSPF Hadji Jamadary akizungumza namna yakuweza kufaidika na uchangiaji wa hiari katika mfuko wa pensheni wa PSS.
 Debora Danniel Afisa Masoko PSPF ambaye alikuwa akifanya zoezi la kusajili wanahisa wa kikundi cha Tandika Grain Agents Company PLC baada ya semina.
 Mmoja wa wanachama akifuatilia kwa makini maelezo ya majibu baada ya kuuliza swali ambalo lilijibiwa na maofisa wa Mfuko wa Pensheni kuhusu uchangiaji wa hiari, Rashidi Iloko
 Hemed Abdullah akiwa makini kufuatilia
 Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Tandika Grain Agents PLC, Hassani Abdallah Matimbula
 Afisa Masoko PSPF, Debora Danniel akiwagawia vipeperushi vikiwa vina elezea PSS mfuko wa hiari
 Afisa masoko Akiwa katika usajili wa wanachama walioweza kujiunga na mfuko wa hiari
Zoezi la upigaji picha likiwa linaendelea kwa walio jaza fomu za kujiunga na mfuko wa huari PSS
 baadhi  ya wanahisa wa chama cha Tandika Grain agents comany plc
 Maofisa wa mfuko wa pensheni wakitoa shukrani kwa wanachama walioweza kuhudhuria semina, kutoka (kushoto) ni Debora Danniel na (kulia) ni Hadji Jamadary.
Picha ya pamoja baadhi ya wanahisa na maofisa wa mfuko wa pension PSPF

 Leo katika kuendelea kuchimba kwa mizizi kwa  kuwapa elimu wananchi mbalimbali mfuko wa pensheni wa PSPF katika mpango wa kuchangia kwa hiari PSS umeweza kuwafikia wananchi wa Tandika na mashirika mbalimbali wameweza kuhudhuria katika semina hiyo iliyo andaliwa na mfuko huo.

Semina hiyo ililenga katika wafanya biashari wa aina mbalimbali ambao hujulikana kama wajasiliamali ambapo kufuatiwa kwa wafanyabiashara hao kufika na kuweza kupata elimu nayo kampuni ya Tandika Grain Agents PLC ambayo inajishughulika na uuzaji wa nafaka mbalimbali iliweza kufika na wanachama wake ili kupta elimu itakayo wasaidia katika kuendeleza biashara yao na maendeleo ya familia zao

Akizungumza na wanachama walio hudhuria semina hiyo Afisa mufuko wa Pensheni wa PSPF, Hadji Jamadary mbaye ndiye aliye kuwa akitoa maelezo katika semina hiyo alianza kwa kuwafahamisha mfuko wa pensheni wa PSPF ni nini na kuweza kuwapa utangulizi wa wa semin hiyo ambayo ilikuwa ikilenga uchangiaji wa hiari (PSS).

Vilevile aliweza kutoa ufafanuzi wa namna ya kujiunga ,manufaa utakayo yapata endapo utajiunga na mfuko huu wa PSPF kwa mpango wa hiari PSS ambapo aliwaeleza kuna namna ya mafao ambayo unaweza ukachagua ili kuweza kuendelea kuchangia ambapo aliyataja mafao  hayo ambayo ni Fao la elimu, fao la ujasiriamali,fao la uzeeni,fao la kifo,fao la ugonjwa na fao la kujitoa aliweza kutoa ufafanuzi katika kila fao ambapo kwakuwa semina ilikuwa na wafanyabiashara aliweza kuwa fundisha kuhusu fao la ujasiliamali na faida zake .

Baada ya kutoa maelekezo hayo wafayabiashara waliruhusiwa kuuliza maswali na kuweza kuchagua na kujiunga na mpango huo wa hiari .

Nao wafanya biashara hususani katika kampuni ya Tandika Grain Agents PLC, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Bw. Hassani Matibula aliwashukuru waelimishaji na waandaaji wa semina hiyo hususani  mfuko wa PSPF kuweza kuwafikia sehemu waliko na kuwafungu kwakuwa hawakuweza kupata watu watakao kuja na kuwapa elimu ya kuwajenga katika biashara zao alitoa wito kwa wafanya biashara wenzake waweze kujiunga ili waweze kupata manufaa na kuhifadhi sehemu salama kw fedha zao.

Mpango huu umeanzishwa na PSPF kwaajiri ya kupanua wigo wa uanachama kwa kuandikasha wananchi waliojiajiri au kuajiriwa katika sekta rasimi na zisizo rasmi.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: PSPF KUPITIA PSS YAZIDI KUCHIMBA HADI MIZIZI KATIKA KUFANIKISHA KUWAFIKIA WANANCHI KWA URAHISI
PSPF KUPITIA PSS YAZIDI KUCHIMBA HADI MIZIZI KATIKA KUFANIKISHA KUWAFIKIA WANANCHI KWA URAHISI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiLyzYT_gDZG2d3IfbLL5YhdvLwSZG-N52geIV73-evxqV0aKC0vWIF5-63FgYP_4a0lp7xuTMsAk6YdqCEG5QELtXJmhxATwhC1lvvYGDrEhYaJkd69BGoNKtG-bcnx-pEffL-PxXV0vLp/s1600/4.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiLyzYT_gDZG2d3IfbLL5YhdvLwSZG-N52geIV73-evxqV0aKC0vWIF5-63FgYP_4a0lp7xuTMsAk6YdqCEG5QELtXJmhxATwhC1lvvYGDrEhYaJkd69BGoNKtG-bcnx-pEffL-PxXV0vLp/s72-c/4.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2014/06/pspf-kupitia-pss-yazidi-kuchimba-hadi.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2014/06/pspf-kupitia-pss-yazidi-kuchimba-hadi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy