KIKOSI cha bendera kinachoongoza gwaride la wahitimu wa mafunzo ya awali kikipita kwa ukakamavu kutoa heshima kwa mgeni rasmi jana katika...
![]() |
|
Mhitimu
wa mafunzo ya awali ya askari polisi wakifanya onyesho la kareti.
|
![]() |
|
WAHITIMU wa
mafunzo ya awali ya askari polisi wakifanya onyesho la kareti katika chuo
hicho. (Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi)
|
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi, akimkabidhi Nishani mmoja kati ya wakufunzi wa mafunzo ya Askari walihitimu mafunzo wakati wa sherehe za wahitimu 3,092 katika Chuo cha Polisi CCP Mjini Moshi, Kilimanjaro.
Miongozi mwa askari wa kike waliohitimu mafunzo hayo, wakionyesha umahiri wao wa kucheza Karate, hapa mmoja akionyesha ukakamavu kwa kuvunja vibao kwa mkono.

Askari wa wakionyesha ukakamavu kwa kuvunja vibao kwa ngumi.
Katika mafunzo hayo.
Mafunzo hayo, yamefungwa rasmi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi.






COMMENTS