WANAUZALENDO KWANZA KUSHIRIKI UZINDUZI WA KOMBE LA AWESO - PANGANI, TANGA

Wasanii wa Bongo Movie wanaunda kundi la Wanauzalendo Kwanza wakiongozwa na Mwenyekiti Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ (pichani) wanataraj...


Wasanii wa Bongo Movie wanaunda kundi la Wanauzalendo Kwanza wakiongozwa na Mwenyekiti Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ (pichani) wanatarajiwa kwenda wilayani Pangani mkoani Tanga kuhudhuria uzinduzi wa Kombe la Aweso ikiwa ni pamoja na elimu na fursa mbalimbali za kuibua vipaji vya wasanii.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Steve amesema Jumamosi May 5, 2018 tutakuwa kwenye uzinduzi wa Kombe la Aweso lililoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Mhe. Jumaa Aweso ambaye pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji na Mkuu wa Wilaya Ya Pangani Mhe. Zainab Abdallah leo lake ikiwa ni kuwaamsha vijana wajitokeze kupata elimu mbali mbali itakayokuwa ikitolewa.

"Tutakuwa wilayani humo wakiwaelimisha vijana juu ya kujitambua, kutumia fursa walizonazo kama kutumia vipaji walivyonavyo ili kufanikisha malengo yao ya kimaisha," amesema.

Ameongeza kuwa vijana wengi huvunjika moyo kutokana na changamoto wanazozipitia bila ya kujua watazitatua vipi, hivyo kupitia kampeni yao ya Amka Kijana wataweza kuwapa elimu.

Mbali na elimu hiyo pia amesema siku hiyo kutakuwa na mtanange wa soka baina ya mashabiki wa timu ya Simba na Yanga na baadaye watatembelea maeneo mbalimbali ya vivutio vilivyomo wilayani humo.

Amesema wasanii mbalimbali kama, Aunt Ezekiel, Flora Mvungi, Jaqueline Wolper, Duma, Johari, JB na wengine wengi. Tamasha hilo litakuwa la wazi na halitakuwa na kiingilio.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WANAUZALENDO KWANZA KUSHIRIKI UZINDUZI WA KOMBE LA AWESO - PANGANI, TANGA
WANAUZALENDO KWANZA KUSHIRIKI UZINDUZI WA KOMBE LA AWESO - PANGANI, TANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiVF0whJafvljYtrmZOxlKyEuPfGCSHODNdYZUOf54VaxRiIhiLVo9F0vVqIEkDOwY2PWNiClNK6Eho9u2QuBAj0zSKTwpPyEgJMtwTh81FmWa26IiEngYiI3E9V3dJwNCFnBw6j-cNaqA/s640/3-1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiVF0whJafvljYtrmZOxlKyEuPfGCSHODNdYZUOf54VaxRiIhiLVo9F0vVqIEkDOwY2PWNiClNK6Eho9u2QuBAj0zSKTwpPyEgJMtwTh81FmWa26IiEngYiI3E9V3dJwNCFnBw6j-cNaqA/s72-c/3-1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/05/wanauzalendo-kwanza-kushiriki-uzinduzi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/05/wanauzalendo-kwanza-kushiriki-uzinduzi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy