RAIS WA ZANZIBAR DK. ALI MOHAMED SHEIN AFUNGA BARAZA LA NANE LA WAWAKILISHI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride maalum la Kikosi c...









????????????????????????????????????Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride maalum la Kikosi cha Polisi akiongozwa na SP Ali Abdalla Kitole wakati wa Ufungaji wa Baraza la Wawakilishi la nane huko Chukwani jana Nje ya Mji wa Unguja. Picha na IKulu.
????????????????????????????????????Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake ya ufungaji wa Baraza la nane la Wawakili wa Zanzibar jana,huko Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja,
????????????????????????????????????Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu cha wageni alipofika katika Ofisi za Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi  jana alipohudhuria kulifunga Baraza la nane la Wawakilishi la Zanzibar,
????????????????????????????????????Mpambe wa Baraza la Wawakilishi Mohammed Bilali akiwaongoza Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar  Pandu Ameir Kificho, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambaye ndio mgeni rasmi, pamoja na Katibu wa Baraza la Wawakilishi Yahya Khamis Hamadi wakiingia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  wakati Ufungaji wa Baraza hilo la nane jana.
????????????????????????????????????Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar  Pandu Ameir Kificho alipokuwa  akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na wajumbe wa Baraza hilo pamoja na kulifunga rasmi  Baraza  la nane la Wawakilishi katika ukumbi wa  Baraza Chukwani jana,
????????????????????????????????????Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibarwakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipozungumza nao katika ufungaji rasmi wa baraza hilo la nane la Wawakilishi jana Chukwani Wilaya ya magharibi Unguja,
????????????????????????????????????Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar ambao ni Mawaziri wa Wizara mbali mbali akiwepo Mwansheria Mkuu wa Zanzibar Said Hassan Said wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipozungumza nao katika ufungaji rasmi wa baraza hilo la nane la Wawakilishi  jana Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja.
????????????????????????????????????Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipozungumza nao katika ufungaji rasmi wa baraza hilo la nane la Wawakilishi jana Chukwani  Wilaya ya Magharibi Unguja.
????????????????????????????????????Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar ambao ni Mawaziri wa Wizara mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipozungumza nao katika ufungaji rasmi wa baraza hilo la nane la Wawakilishi jana Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja.
????????????????????????????????????Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar ambao ni Mawaziri wa Wizara mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipozungumza nao katika ufungaji rasmi wa baraza hilo la nane la Wawakilishi jana Chukwani   Wilaya ya Magharibi Unguja,
????????????????????????????????????Watendaji wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja wakimsikiza Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufungaji wa Baraza la nane la Wawakili wa Zanzibar jana.
????????????????????????????????????Watendaji wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja wakiwepo na wawakilishi wa Ofisi za Ubalozi na Mashirika ya Kimataifa wakimsikiza Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufungaji wa Baraza la nane la Wawakili wa Zanzibar jana.
????????????????????????????????????Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar Pandu Ameir Kificho(katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbali mbali na Wajumbe wa Baraza hilo baada ya kulifunga rasmi Baraza la nane Wawakilishi  jana huko Chukwani Wilaya ya  Magharibi Unguja

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS WA ZANZIBAR DK. ALI MOHAMED SHEIN AFUNGA BARAZA LA NANE LA WAWAKILISHI ZANZIBAR
RAIS WA ZANZIBAR DK. ALI MOHAMED SHEIN AFUNGA BARAZA LA NANE LA WAWAKILISHI ZANZIBAR
http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/17211.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/06/rais-wa-zanzibar-dk-ali-mohamed-shein_27.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/06/rais-wa-zanzibar-dk-ali-mohamed-shein_27.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy