SHEIKH MKUU WA TANZANIA, MUFT ABUBAKARY BIN ZUBERY ASHIRIKI FUTARI ILIYOANDALIWA NA BENKI YA AZANIA TAWI LA MOSHI

Waumini wa Dini ya Kiislamu wakichukua Chakula wakati wa hafla fupi ya Futari iliyoandaliwa na Benki ya Azania na kufanyika ofisi za Bak...


Waumini wa Dini ya Kiislamu wakichukua Chakula wakati wa hafla fupi ya Futari iliyoandaliwa na Benki ya Azania na kufanyika ofisi za Bakwata mkoa wa Kilimanjaro.
Sheikh Mkuu wa Tanzania,  Mufti Abubakary Bin Zubery akishiriki hafla ya kupata Futari iliyoandaliwa na Benki ya Azania.

Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakary Zubery akiwa na Kaimu Mkurugenzi idara ya maendeleo ya Biashara wa Benki ya Azania, Jackson Lohay katika hafla ya Futari iliyoandaliwa na Benki hiyo.
Baadhi ya waumini wakishiriki Futari iliyoandaliwa na Benki ya Azania tawi la Moshi.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira (wa pili kushoto) akiwa na Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi, Hajira Mmambe (kushoto).
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira akishiriki Futari iliyoandaliwa na Benki ya Azania tawi la Moshi.

Kaimu Mkurugenzi idara ya maendeleo ya Biashara wa Benki ya Azania, Jackson Lohay akizungumza wakati wa halfa fupi ya Futari iliyoandaliwa kwa Waislamu wa mkoa wa Kilimanjaro na Benki hiyo.
Mwenyekiti wa Halmashari ya Bakwata Taifa, Sheikh Alhaji Hamis Mataka akizungumza kwa niaba ya Sheakh Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakary Bin Zubery wakati wa Futari iliyoandaliwa na Azania Bank tawi la Moshi.
Mwakilishi wa wateja wa Benki ya Azania Bank, Ibrahim Shoo akizungumza kwa niaba ya wateja wa benki hiyo.
Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakary Bin Zubery akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongzi wa Dini ya Kiislamu mara baada ya kumalizika kwa hafla fupi ya Futari iliyoandaliwa na Benki ya Azania tawi la Moshi.
Wafanyakazi wa Benki ya Azania tawi la Moshi wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira wengine ni Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro, Mhandisi Aisha Amour.na Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi ,Hajira Mmambe.
Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi, Hajira Mmambe akiagana na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira mara baada ya kumalizikwa kwa hafla ya Futari iliyoandaliwa na Benki hiyo katika viwanja vya ofisi ya Bakwata mjini Moshi.

(Na Dixon Busagaga Globu ya Jamii, Kanda ya Kaskazini)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SHEIKH MKUU WA TANZANIA, MUFT ABUBAKARY BIN ZUBERY ASHIRIKI FUTARI ILIYOANDALIWA NA BENKI YA AZANIA TAWI LA MOSHI
SHEIKH MKUU WA TANZANIA, MUFT ABUBAKARY BIN ZUBERY ASHIRIKI FUTARI ILIYOANDALIWA NA BENKI YA AZANIA TAWI LA MOSHI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjFKGzYOykYSF-jiVULNc8mqSCmNrrX6azmxmP6N3OSSrWbon3r5CcosgUFFuMZBjLYNcZjox58vOAL4Lw97cuq1cm7vF_bGKu-X687ozY0DtJWRizjXOi_59b7U065Vre8AjwORtlK5mIs/s640/_MG_1641.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjFKGzYOykYSF-jiVULNc8mqSCmNrrX6azmxmP6N3OSSrWbon3r5CcosgUFFuMZBjLYNcZjox58vOAL4Lw97cuq1cm7vF_bGKu-X687ozY0DtJWRizjXOi_59b7U065Vre8AjwORtlK5mIs/s72-c/_MG_1641.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/sheikh-mkuu-wa-tanzania-muft-abubakary.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/sheikh-mkuu-wa-tanzania-muft-abubakary.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy