NYUKI WAZUA KIZAA ZAA KATIKA MCHEZO WA RUVU SHOOTING NA AFRICAN LYON

  W achezaji wa timu za Ruvu Shooting wenye jezi rangi ya bluu na wa African Lyon wakiwa wamelala chini ikiwa ni kujihami na makun...








 Wachezaji wa timu za Ruvu Shooting wenye jezi rangi ya bluu na wa African Lyon wakiwa wamelala chini ikiwa ni kujihami na makundi ya nyuki ambayo yalikuwa yanapita uwanjani hapo hivyo wachezaji, waamuzi na mabenchi ya wachezaji wa akiba wote walilazimika kulala chini ikiwa ni kujinusuru kutokana na hali hiyo. Katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Shooting iliibuka na ushndi wa bao 1-0 lililofungwa na mshambuliaji mwenye nguvu za miguu Issa Kanduru kunako dakika ya 19.

 'Ni kama wanasema 'Nyuki hao bado wapo tuendelee kujificha chini ya viti".



 Watu wazima chini ya viti 'Chezea nyuki wewe'

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NYUKI WAZUA KIZAA ZAA KATIKA MCHEZO WA RUVU SHOOTING NA AFRICAN LYON
NYUKI WAZUA KIZAA ZAA KATIKA MCHEZO WA RUVU SHOOTING NA AFRICAN LYON
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhHS3KIueqY-TgNBPZaQgTGDsDoweloyoxdJ7iqF20oPP5qeBU3IAqImUqCx-2TzHKY2xVHyskd-8HPmoZBpZK07TaUHI3ItCJSk1mu1hor1u_NDbm9oBlqUsOP81xkQv8Hwe9krnJD7kkW/s640/IMG_20161102_160903.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhHS3KIueqY-TgNBPZaQgTGDsDoweloyoxdJ7iqF20oPP5qeBU3IAqImUqCx-2TzHKY2xVHyskd-8HPmoZBpZK07TaUHI3ItCJSk1mu1hor1u_NDbm9oBlqUsOP81xkQv8Hwe9krnJD7kkW/s72-c/IMG_20161102_160903.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/nyuki-wazua-kizaa-zaa-katika-mchezo-wa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/nyuki-wazua-kizaa-zaa-katika-mchezo-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy