MTANZANIA ALIYENGARA MASHINDANO YA KUPIKA DUNIANI AREJEA NCHINI

Mshindi wa nne wa mashindano ya mapishi duniani, Fred Uisso akionesha tuzo yake aliyokabidhiwa hivi karibuni katika fainali ...










Mshindi wa nne wa mashindano ya mapishi duniani, Fred Uisso akionesha tuzo yake aliyokabidhiwa hivi karibuni katika fainali za mashindano hayo nchini Marekani baada ya kuwasili jana uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam leo.
 
 
 
Chef Fred Uisso akiwa na mkewe Monica Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa wa Bodi ya Utalii Tanzania(TTB), Geofrey Tengeneza waliofika kumpokea Mpishi huyo kutoka Mgahawa wa Africando aliyeipeperusha vyema bendera ya taifa.
Nifuraha ya kurejea na ushindi...
Tuzo aliyopewa Uisso baada ya kuibuka akiwa nafasi ya nne kati ya washiriki 458 kutoka mataifa mbalimbali huku kutoka Afrika akiwa peke yake.
Chef Fred Uisso akimkabidhi Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa wa Bodi ya Utalii Tanzania(TTB), Geofrey Tengeneza, bendera ya taifa pamoja na Tuzo hiyo baada ya kumpokea uwanja wa ndege leo.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MTANZANIA ALIYENGARA MASHINDANO YA KUPIKA DUNIANI AREJEA NCHINI
MTANZANIA ALIYENGARA MASHINDANO YA KUPIKA DUNIANI AREJEA NCHINI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhYeX_jTwQUlDVQHFtT7TpO1zbTW-dXH4hFjsdJsDaittj3ATyRJlOW_6T9jB_RtrBMyaA2UIA6JQVElb5EtO8uPanFpHXjHbSVvjVAYF0eHVbIOCaW8Rkrnu5JJQcwgzVwauCbz1Wlq-Y/s640/_TM_0122.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhYeX_jTwQUlDVQHFtT7TpO1zbTW-dXH4hFjsdJsDaittj3ATyRJlOW_6T9jB_RtrBMyaA2UIA6JQVElb5EtO8uPanFpHXjHbSVvjVAYF0eHVbIOCaW8Rkrnu5JJQcwgzVwauCbz1Wlq-Y/s72-c/_TM_0122.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/mtanzania-aliyengara-mashindano-ya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/mtanzania-aliyengara-mashindano-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy