Mgeni Maalum,Masoud Kipanya akiwa na Mkurugenzi wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Bw Achiles Bufure (kushoto) pamoja na...
Mgeni Maalum,Masoud Kipanya akiwa na Mkurugenzi wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Bw Achiles Bufure (kushoto) pamoja na Rais wa Chama cha Wasanii na Wachongaji Tanzania (CHAWASAWATA), Adrian Nyangamalle, Mwenyekiti
wa Chama cha Wachoraji Katuni Tanzania, Nathan Mpangala wakikata utepe
kuashiria ufunguzi rasmi wa maonesho ya katuni na vibonzo leo katika
ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Mgeni
Maalum, Masoud Kipanya akizungumza na wadau mbalimbali katika hafla ya
uzinduzi wa maonesho ya katuni na vibonzo katika ukumbi wa Makumbusho
ya Taifa jijini Dar es Salaam Oktoba 20-2016.
Picha ya pamoja.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wachoraji Katuni Tanzania,Nathan Mpangala akizungumza
katika hafla ya uzinduzi wa maonesho ya katuni na vibonzo katika
ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Wadau wa maonesho ya katuni na vibonzo wakifurahia ufunguzi huo katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Wadau wa maonesho ya katuni na vibonzo wakifurahia ufunguzi huo katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Wadau wa maonesho ya katuni na vibonzo wakianganlia maonesho katika
furahia ufunguzi huo katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es
Salaam.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wachoraji Katuni Tanzania, Nathan Mpangala akimwelekeza
jambo Issa Michuzi 'Ankal' wakati wa uzinduzi wa maonesho ya katuni na vibonzo.
Mgeni Maalum, Masoud Kipanya akiwa na Mkurugenzi wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni, Achiles Bufure (kulia) pamoja na Rais wa Chama cha Wasanii na Wachongaji Tanzania (CHAWASAWATA), Adrian Nyangamalle (kushoto) na mdau.
Wadau katika ufunguzi rasmi wa maonesho ya katuni na vibonzo katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii)











COMMENTS