TAMASHA LA UTAMADUNI LA NAMASTEE TANZANIA LAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa Tamasha la Utamadun...





ia1
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa Tamasha la Utamaduni la India liitwalo Namastee Tanzania (Habari Tanzania) lililofanyika Oktoba 14, 2016 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.
ia2
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwasha mshumaa kuashiria ufunguzi rasmi wa Tamasha la Utamaduni la India liitwalo Namastee Tanzania (Habari Tanzania) lililofanyika Oktoba 14, 2016 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam. 
ia3
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ally Hassan Mwinyi akiwasha mshumaa kuashiria ufunguzi rasmi wa Tamasha la Utamaduni la India liitwalo Namastee Tanzania (Habari Tanzania) lililofanyika Oktoba 14, 2016 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya vikundi vya Utaamduni wa kihindi vikitumbuiza katika uzinduzi wa Tamasha la Utamaduni la India liitwalo Namastee Tanzania (Habari Tanzania) lililofanyika Oktoba 14,2016 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.
ia5 ia6
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ally Hassan Mwinyi (kushoto) akimsikiliza Balozi wa India nchini Mhe. Sandeep Arya (katikati)  wakati wa onesho la uzinduzi wa Tamasha la Utamaduni la India liitwalo Namastee Tanzania (Habari Tanzania) lililofanyika Oktoba 14, 2016 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam. Kulia ni  Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye.
ia7
Wageni waalikwa wakifatila burudani mbalimbali wakati wa onesho la Tamasha la Utamaduni la India liitwalo Namastee Tanzania (Habari Tanzania) lililofanyika Oktoba 14,2016 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.

(Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WHUSM)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TAMASHA LA UTAMADUNI LA NAMASTEE TANZANIA LAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM.
TAMASHA LA UTAMADUNI LA NAMASTEE TANZANIA LAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM.
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2016/10/ia1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/tamasha-la-utamaduni-la-namastee.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/tamasha-la-utamaduni-la-namastee.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy