RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS KABILA WA DRC WASHUHUDIA KUSAINIWA KWA MOU YA USHIRIKIANO NA KUONGEA NA WANANCHI KUPITIA VYOMBO VYA HABARI IKULU JIJINI DAR

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ujumbe wake wakitoka katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya K...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ujumbe wake wakitoka katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph Kabila  na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2016.

 Mawaziri wa Nishati wa Tanzania na DRC wakitia saini mkataba wa makubaliano ya pamoja (MOU) wa utafutaji na uendelezaji wa mafuta katika eneo la upande wa magharibi mwa afrika Mashariki hususan katika ziwa Tanganyika.

 Mawaziri wa Nishati wa Tanzania na DRC wakibadilishana nyaraka
 baada ya kutia saini mkataba wa makubaliano ya pamoja (MOU)  wa utafutaji na uendelezaji wa mafuta katika  eneo la upande wa magharibi mwa afrika Mashariki hususan katika ziwa Tanganyika.

 Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph Kabila   akiongea na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2016.

Wajumbe wakimpigia makofi Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph Kabila wakati  akiongea na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akiongea  Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akiongea  Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akiongea  Ikulu jijini Dar es salaam leo 

 Wajumbe wakimpigia makofi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akiongea  Ikulu jijini Dar es Salaam leo 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ujumbe wake wakitoka katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph Kabila  na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph Kabila  na ujumbe wake katika picha ya pamoja Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph Kabila  na ujumbe wake katika picha ya pamoja na baadhi ya wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2016. (PICHA NA IKULU)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS KABILA WA DRC WASHUHUDIA KUSAINIWA KWA MOU YA USHIRIKIANO NA KUONGEA NA WANANCHI KUPITIA VYOMBO VYA HABARI IKULU JIJINI DAR
RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS KABILA WA DRC WASHUHUDIA KUSAINIWA KWA MOU YA USHIRIKIANO NA KUONGEA NA WANANCHI KUPITIA VYOMBO VYA HABARI IKULU JIJINI DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh4XbGjBFhBLlzQC2xkKFeimw5GHNw0xCi6e3JKwJJI_Lxh0shjxBSeJHa8FhvmZ_VjKor4j8yPTm3bobnEKGmDN67Bvj3obbxe4Yys70JYzftHbQPe5dyFoz5JaRasL5HFWfOyVOjEbDie/s640/l+%25281%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh4XbGjBFhBLlzQC2xkKFeimw5GHNw0xCi6e3JKwJJI_Lxh0shjxBSeJHa8FhvmZ_VjKor4j8yPTm3bobnEKGmDN67Bvj3obbxe4Yys70JYzftHbQPe5dyFoz5JaRasL5HFWfOyVOjEbDie/s72-c/l+%25281%2529.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/rais-dkt-magufuli-na-rais-kabila-wa-drc.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/rais-dkt-magufuli-na-rais-kabila-wa-drc.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy