Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo...
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki
mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila Ikulu jijini Dar es Salaam usiku huu alikomwandalia dhifa ya Kitaifa
kwaheshima yake
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila
Ikulu jijini Dar es Salaam usiku huu alikomwandalia dhifa ya Kitaifa kwa
heshima yake
Rais
Joseph Kabila akimwamkia Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan
Mwinyi Ikulu jijini Dar es Salaam katika dhifa ya Kitaifa
iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima yake.
Rais
Joseph Kabila akimwamkia Mama Sitti Mwinyi, Mke wa Rais Mstaafu wa
awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Ikulu jijini Dar es Salaam katika dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa
heshima yake
Rais
Joseph Kabila akisalimiana na Spika Mstaafu Mhe Anne Makinda Ikulu
jijini Dar es Salaam usiku huu katika dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na
Rais Dkt Magufuli kwa heshima yake
Rais Joseph Kabila akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid Ikulu jijini Dar es Salaam usiku huu
katika dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima
yake.
Sehemu ya waliohudhuria dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima ya Rais Joseph Kabila wa DRC.
Sehemu
ya waliohudhuria dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli
kwa heshima ya Rais Joseph Kabila wa DRC. Kutoka kushoto ni Rais Mstaafu
Ali Hassan Mwinyi, Mama Sitti Mwinyi, Spika wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John
Kijazi.
Sehemu
ya wageni waalikwa katika dhifa hiyo akiwemo Prof Makame Mbarawa,
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohammed Aboud Mohammed, Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na
Kimataifa, Mhe. Suzan Kolimba na Mawaziri kutoka DRC
Rais
Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Jaji Mkuu wa
Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman, Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph
Sinde Warioba, Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga na Waziri wa mambo ya
Nje wa DRC Mhe. Raymond Tshibanda.
Wakuu wa vyombo vya ulinzi wa Tanzania na DRC.
Sehemu ya Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi.
Cecilia Kabila (kulia), mdogo wake Rais Joseph Kabila wa DRC alikuwepo.
Wadau waalikwa.
Waalikwa.
Meza
kuu ikiwa na Rais Dkt Magufuli na mgeni wake Rais Joseph kabila na
Makamu wa rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mama Janeth Magufuli.
Rais Dkt Magufuli akiwa meza kuu na mgeni wake Rais Joseph kabila na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Wafanyabishara maarufu nchini Saidi Salim Bakhressa (kushoto) na Mohamed Dewji.
Wafanyabishara maarufu nchini Saidi Salim Bakhressa (kushoto) na Mohamed Dewji wakiwa na wenzao wa DRC na Tanzania.
Msanii mkongwe Zahir Ally Zorro alikuwepo kutoa burudani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia.
Mabalozi wa nchi mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Wadau mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Mkalimani mahiri Dkt. Mussa Lulandala akiwa kazini.
Wageni waalikwa wakifuatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuhutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisimua wasikilizaji wa hotuba yake.
Mama
Janeth Magufuli akigonganisha glasi na Rais Joseph Kabila wa DRC baada
ya hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli.
Glasi zikigongwanishwa baada ya hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Meza
kuu ikisimama wakati wimbo wa Taifa wa DRC ukipibgwa baada ya hotuba ya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Waalikwa
wote walisimama wakati wa wimbo wa Taifa wa DRC ukipigwa baada ya Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhutubia.
Wote
walisimama wakati wa wimbo wa Taifa wa DRC ukipigwa baada ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akihutubia.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akiendelea kuhutubia.
Rais
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akimtakia heri
mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa
kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha
glasi kumtakia heri mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya
Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha
glasi na Mama Janeth Magufuli kumtakia heri yeye na mwenyeji wake Rais
Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake
Ikulu jijini Dar es salaam
Rais
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha
glasi na makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na mwenyeji wake Rais
Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake
Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila Rais Dkt
Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mama Janeth
Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa.
Cecilia Kabila na wageni waalikwa wakisimama wakati wa wimbo wa Taifa.
Waalikwa wote walisimama wakati wa wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa baada ya Rais Joseph Kabila wa DRC kuhutubia.
Waalikwa wote walisimama wakati wa wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa baada ya Rais Joseph Kabila wa DRC kuhutubia.
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Bw. Gerson Msigwa akiendesha shughuli kwa weledi.
Mwanamuziki Christian Bella akitumbuiza kwenye dhifa hiyo.
Mwanamuziki Christian Bella akitumbuiza kwenye dhifa hiyo.
Mwanamuziki Christian Bella akitumbuiza kwenye dhifa hiyo.
Makamu
wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akimtuza mwanamuziki Christian Bella
kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.
Mama Janeth Magufuli akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.
Mkurugenzi
Mkuu wa TPA Eng. Deusdedit Kakoko akimtuza mwanamuziki Christian Bella
kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.
Mama Salma Kikweteb akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.
Spika
Mstaafu Mhe Anne makinda akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa
kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.
Mabalozi wakimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.
Balozi
Mpya wa Uingereza nchini awasili Bi. Sarah Cooke akimtuza mwanamuziki
Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye
dhifa hiyo.
Wageni kutoka DRC wakimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.
Christian Bella akiendelea kutumbuiza.
Cecilia Kabila akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.
mwanamuziki Christian Bella akishukuru.
Balozi akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.
Balozi
wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El Badaoui Mohamed akimtuza
mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama
Mama" kwenye dhifa hiyo.
Mgeni kutoka DRC akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.
Kaimu
Balozi wa Burundi nchini, Bw. Prefere Ndayishimiye akimtuza mwanamuziki
Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye
dhifa hiyo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni
wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila
wakiongea na mawaziri wao wa nchi za nje Ikulu jijini Dar es Salaam.
Wageni wafurahia Burudani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila
wakipata burudani kutoka kwa Brass band ya Polisi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Makamu wa rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Mama Janeth Magufuli na mgeni
wao Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufulina mgeni
wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila
wakishukuru baada ya kupata burudani kutoka kwa Brass band ya Polisi
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufulina
mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila
wakishukuru baada ya kupata burudani kutoka kwa Brass band ya Polisi
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na
mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila
wakiagana na viongozi wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni
wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila
wakiagana na viongozi wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akikumbatiana na mdogo wake Cecilia.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akiagana na mdogo wake Cecilia.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akiagana na mdogo wake Cecilia.
Ngoma ya Msewe ikichezwa na kundi la utamaduni la JKT
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na
mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila
wakitumbuizwa na kikundi cha Brass band cha Mount Usambara chini ya
Mzee Hoza Ikulu jijini Dar es salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha
umahiri wake wa kupiga ngoma mbele ya Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho
kikwete baada ya dhifa hiyo ya Kitaifa.
(PICHA NA IKULU)

COMMENTS