KATIBU MKUU WA CCM, KINANA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA CNDD-FDD CHA BURUNDI, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Kataibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkaribisha Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD-FDD, Evariste Ndayishimiye, leo Oktoba...





Kataibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkaribisha Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD-FDD, Evariste Ndayishimiye, leo Oktoba 1, 2016, katika Ofis Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuwa na mazungumzo baina ya viongozi hao kuhusu uhusiano wa vyama hivyo ya CCM na CNDD-FDD. Kushoto ni Mnadhimu Mkuu wa CNDD-FDD, Gelase Ndabirabe. 

 
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mnadhimu Mkuu wa Chama cha CNDD-FDD,  Gerase Ndabirabe. Kushoto ni Kaimu Balozi wa Burundi nchini, Prefere Ndayishimiye.

 
 Katibu  Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia Kaimu Balozi wa Burundi hapa nchini Prefere Ndayishimiye  alipokuwa akiupokea ugeni huo wa Katibu Mkuu wa CNDD-FDD.

 
 Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka akisalimiana na Katibu Mkuu wa chama cha CNDD-FDD cha Burundi Evariste Ndayishimiye ugeni wa Katibu mkuu huyo ulipowasili leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam. Wapili kulia ni Balozi David Kapya. 
 
 Kataibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpeleka Ofisini kwake, Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD-FD cha Burundi baada ya kuwasili kwa ajili ya mazungumzo. Kushoto ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka.
 
 Kataibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpeleka Ofisini kwake, Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD-FD cha Burundi baada ya kuwasili kwa ajili ya mazungumzo.

 
 Kataibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha kuketi kwa ajili ya kuendelea na mazungumzo, Ofisini kwake, Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD-FD cha Burundi baada ya kuwasili kwa ajili ya mazungumzo hayo leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka.
 
 Kataibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD-FD cha Burundi wakifurahia jambo wakati wa mazungumzo yao katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo.

 
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na ujumbe wake, akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa chama cha CNDD-FDD Evariste Ndayishimiye na ujumbe wake, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
 
 Baadhi ya maofisa katika ujumbe wa Burundi uliofuatana na Katibu Mkuu wa Chama cha  CNDD-FDD Evariste Ndayishimiye, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam. PICHA ZAIDI/BOFYA HAPA

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KATIBU MKUU WA CCM, KINANA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA CNDD-FDD CHA BURUNDI, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
KATIBU MKUU WA CCM, KINANA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA CNDD-FDD CHA BURUNDI, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhuSSIp9xJ2vBxYQJFoFDAS2iLEqVDZdR1lwCcKRHgUUipKggPar8ZZTXISW0PthklCPPTqo0QrFLT07WAZN6-UjBeDjLsINKKMcVyKE2uLSNLtgJ6yUn43H48qPtEq0Crb2KjQvuZd1rU/s640/BN647915.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhuSSIp9xJ2vBxYQJFoFDAS2iLEqVDZdR1lwCcKRHgUUipKggPar8ZZTXISW0PthklCPPTqo0QrFLT07WAZN6-UjBeDjLsINKKMcVyKE2uLSNLtgJ6yUn43H48qPtEq0Crb2KjQvuZd1rU/s72-c/BN647915.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/katibu-mkuu-wa-ccm-kinana-akutana-na.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/katibu-mkuu-wa-ccm-kinana-akutana-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy