TAMASHA LA TIGO FIESTA LAPOKELEWA KWA SHANGWE MKOANI DODOMA IJUMAA HII

Baadhi ya wabunge  wabunge la Tanzania wakiwa  wanacheza muziki na msanii Ben Pol kwenyeTamasha la Tigo Fiesta lililofanyika  uwan...








Baadhi ya wabunge  wabunge la Tanzania wakiwa  wanacheza muziki na msanii Ben Pol kwenyeTamasha la Tigo Fiesta lililofanyika  uwanja  wa   Jamhuri   Dodoma usiku wa  kuamkia    jana.
Belle9 akiwapagawisha maelfu ya mashabiki wa muziki waliojitokeza katika viwanja vya jamhuri katika tamasha la Tigo Fiesta 




Jux na Benpol wakiimba wimbo wa pamoja wa NAKUCHANA katika jukwaa la Tigo Fiesta katika viwanja vya Jamhuri mwishoni wa wiki hii.




Wasanii   Bushoke   na Maua Sama   wakifanya shoo
ya   pamoja    kwenye   tamasha la Tigo Fiesta usiku  wa kuamkia jana  uwanja  wa   Jamhuri Dodoma
Christian Bella akitumbuiza mashabiki wa burudani waliohudhuria Tamasha la Tigo Fiesta mapema mwishoni wa wiki hii mkoani Dodoma.


Maua Sama na Nandi wakiimba kwa pamoja katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana katika viwanja vya Jamuhuri Mkoani Dodoma


Vanessa na Mcheza shoo wake wakiburudisha maelfu ya wakazi w.a Dodoma waliofika viwanja vya Jamhuri kwenye Tamasha la Tigo Fiesta


Wabunge wakilisakata Rhumba wakiongozwa  na Msanii Benpol


Joh Makini na Niki wa Pilli toka Weusi wakilivamia jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana katika Tamasha la Tigo Fiesta 


Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Tulia Ackson, akifuatilia kwa makini  burudani inayotolewa na wasaniii waliopamba jukwaa la Tigo Fiesta  akiwa pamoja na Waziri Habari Utamaduni Sanaa na Michezo,  Nape Nnauye na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira January Yusuph Makamba ) usiku wa kuamkia jana.
 

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TAMASHA LA TIGO FIESTA LAPOKELEWA KWA SHANGWE MKOANI DODOMA IJUMAA HII
TAMASHA LA TIGO FIESTA LAPOKELEWA KWA SHANGWE MKOANI DODOMA IJUMAA HII
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjyZBiS7gBgLtdqewmfJG7pJKOSyBN2ZBYC9HI5-naJaViP0Vi7qrarMUbZjE_UNnX8moz_T3DinOWkIlBDIJVSGomf2gdVVGv5SVCzm-Lx7TQt5dmU9uHBR5LFE0avQNMzKTM1lvSeFO8/s640/Ben+Pol+akiwa+na+Wabunge+-+Copy+%25282%2529.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjyZBiS7gBgLtdqewmfJG7pJKOSyBN2ZBYC9HI5-naJaViP0Vi7qrarMUbZjE_UNnX8moz_T3DinOWkIlBDIJVSGomf2gdVVGv5SVCzm-Lx7TQt5dmU9uHBR5LFE0avQNMzKTM1lvSeFO8/s72-c/Ben+Pol+akiwa+na+Wabunge+-+Copy+%25282%2529.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/09/tamasha-la-tigo-fiesta-lapokelewa-kwa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/09/tamasha-la-tigo-fiesta-lapokelewa-kwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy