ROBO TATU YA WATU WALIOPO GEREZANI NCHINI TANZANIA SIO WAFUNGWA

Mkurugenzi  wa Legal Services Facility, Scholastica Julu, akizungumza na wadau waliofika katika hafla ya miaka mitano ya LS F. ...







Mkurugenzi  wa Legal Services Facility, Scholastica Julu, akizungumza na wadau waliofika katika hafla ya miaka mitano ya LSF.



 Wajumbe wa Bodi wa Legal Services Facility katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa bodi ya Lsf , Joaquine De Mello (wa pili kulia)


 Mwenyekiti wa bodi ya Lsf , Joaquine De Mello akiakabidhi hundi kwa mmoja wa wanufaika.


 Mnufaika wa Ruzuku kutoka tasisi ya  TEWORECakinyoosha hundi yake juu yenye thamani ya shilingi bilioni moja


 Wanufaika wa Ruzuku wakiwa katika picha ya Pamoja na Wajumbe wa bodi


Mkurugenzi  wa Legal Services Facility, Scholastica Julu, akizungumza na wadau waliofika katika hafla ya miaka mitano ya LSF.

 Mkurugenzi  wa Legal Services Facility (LSF), Scholastica Julu, akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa  LSF.




Na  Humphrey   Shao
WITO umetolewa kwa wadau wa sheria  kusaidia kupunguza mahabusu Magerezani kutokana na wingi wao ambao aikuwa lazima kuweka humo .

Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la kisheria lisilo la kiserikali la Legal Services Facility (LSF), Joaquine De Mello,  wakati wa hafla ya miaka mitano ya shirika
hilo na kukabidhi fedha kwa mashirika mapya ya wanaufaika.

“Nimeweza kuzunguka magereza yote nchini na kujionea namna gani wafungwa walivyojazana
kwa wingi lakini robo tatu ya wafungwa waliopo humo ni mahabusu ambao awaja hukumiwa” alisema Jaji Joaquine De Mello
Aliongeza kuwa imefika wakati wa wasaidizi wa kisheria kuanza kuwasaidia watu kwa nagazi ya
vituo vya Polisi ambapo huko wanaweza kupata dhamana kabla ya kufika magarezani.

Kwa upande wake, Scholastica Julu, Mkurugenzi mtendaji wa Shirika hilo alisema kuwa shirika hilo limeweza kutoa fedha zaidi ya Bilioni ishirini kwa mashirika mbalimbali nab ado litaendelea kutoa hili kuweza kusaidia wasaidzi wa kisheria na Mashirika yanayowasimamia.

Alisema kuwa wameweza kupokea changamoto ya usafiri kwenye baadhi ya mikoa na kama shirika wanalifanyia kazi hilo swala hili waweze kutatua tatizo hilo kwa wasaidizi wanaofanya kazi hiyo kwa mazingira hayo magumu. 


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: ROBO TATU YA WATU WALIOPO GEREZANI NCHINI TANZANIA SIO WAFUNGWA
ROBO TATU YA WATU WALIOPO GEREZANI NCHINI TANZANIA SIO WAFUNGWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjGzlrLjZxgL_-TlOelNLB6BILxU9VR4vymiYfvfWA0KjN9cKz6VHtC6GcUdtBSdzd3691ezL_InEPgKKEAT0tr8uQhgxEdWVZqmslUAFVLeQhM2TOgYJkxcUqmqRnomkk2FBJvXUZHAYO9/s320/DSC_2574.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjGzlrLjZxgL_-TlOelNLB6BILxU9VR4vymiYfvfWA0KjN9cKz6VHtC6GcUdtBSdzd3691ezL_InEPgKKEAT0tr8uQhgxEdWVZqmslUAFVLeQhM2TOgYJkxcUqmqRnomkk2FBJvXUZHAYO9/s72-c/DSC_2574.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/09/robo-tatu-ya-watu-waliopo-gerezani.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/09/robo-tatu-ya-watu-waliopo-gerezani.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy