MSHINDI WA BIG BROTHER AFRICA 2014, MTANZANIA IDRIS SULTANI AELEZEA SIRI YA USHINDI WAKE

Idris Sultani, mshindi wa Big  Brother  Africa   2014, akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Hayyatt Regency Kilima...


Idris Sultani, mshindi wa Big  Brother  Africa   2014, akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Hayyatt Regency Kilimanjaro Hotel, jijini Dar es Salaam, wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari, leo Alhamisi Desemba 11, 2014. Idris amesema siri ya ushindi wake ni nidhamu ya kuwa mshiriki ndani ya jumba hilo kwa kipindi chote cha mshindano, na ushindi huo ni kwa ajili ya Afrika na waafrika.
Mshinmdi huyo ametwaa dola za kimarekani 300,000, sawa na shilingi za kibongo zaidi ya milioni 500.
Pamoja naye ni meneja wa Mahusiano wa Multichoice-Tanzania, Barbara Kambogi

Idris, akiwa na aliyekuwa mwakilishi mwenzake wa Tanzania katika BBA 2014
Idris, akiwa na aliyekuwa mwakilishi mwenzake wa Tanzania katika BBA 2014

Idris, (katikati), Meneja wa Mahusiano wa Multichoice-Tanzania, Barbara Kambogi, (kushoto) na Meneja Masoko wa Multichoice-Tanzania, Furaha Samuli

Mwakilishi mwenza wa Idris kwenye BBA 2014, akizungumza kwenye mkutano huo

Big Brother africa 2014, Idris Sultani akitabasamu baada ya "kupigwa swali"(Kwa hisani ya K-VIS Blog)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MSHINDI WA BIG BROTHER AFRICA 2014, MTANZANIA IDRIS SULTANI AELEZEA SIRI YA USHINDI WAKE
MSHINDI WA BIG BROTHER AFRICA 2014, MTANZANIA IDRIS SULTANI AELEZEA SIRI YA USHINDI WAKE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgJOGDo2d02-aDXLAXc6U0QZEZMSggeMAknFFHT7r2beBpnWqyrcZKjnNphSmx4LX58EXPIANngodcfFsFbSmv4mnLcFca4OVbG05b1rcCyFUNjE3b6pI-ff2hEEWvsu-0e04jrvHX3WFk/s1600/b4.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgJOGDo2d02-aDXLAXc6U0QZEZMSggeMAknFFHT7r2beBpnWqyrcZKjnNphSmx4LX58EXPIANngodcfFsFbSmv4mnLcFca4OVbG05b1rcCyFUNjE3b6pI-ff2hEEWvsu-0e04jrvHX3WFk/s72-c/b4.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2014/12/mshindi-wa-big-brother-africa-2014.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2014/12/mshindi-wa-big-brother-africa-2014.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy