BOMU LA KUTUPA KWA MKONO LILILOZUA KIZAAZAA BARABARA YA SHEKILANGO JIJINI DAR JANA Bomu lililosababisha wasiwasi na kuvuta umati wa waka...
BOMU LA KUTUPA KWA MKONO LILILOZUA KIZAAZAA BARABARA YA SHEKILANGO JIJINI DAR JANA
Baadhi
ya raia wakikusanyika kushangaa Bomu la kutupa kwa mkono lililokutwa
eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam, jana mchana na kuzua taflani
kubwa.
Bomu hilo likiwa limefukiwa katika eneo hilo.....
Askari wa kutuliza ghasia wakijaribu kulitegua bomu hilo ili kuweza kuliondosha eneo hilo.

COMMENTS