Sheikh Issa Ponda akisindikizwa na askari magereza kuingia mahakama ya Kisutu Dar es Salaam May 9 kabla kupewa hukumu ya mwaka mmoja nje. ...
| Sheikh Issa Ponda akisindikizwa na askari magereza kuingia mahakama ya Kisutu Dar es Salaam May 9 kabla kupewa hukumu ya mwaka mmoja nje. |
| Sheikh Issa Ponda akiongea na mmoja wa mawakili wake, Ubaidi Hamidu akiwa na watuhumiwa wenzake wakisubiri hukumu katika Mahakama ya kisutu Dar es Salaam May 9 2013. |
| Shekhe Issa Ponda akiwa na baadhi watuhumiwa wenzake wakisubiri hukumu katika Mahakama ya kisutu Dar es Salaam May 9 2013 |
| Mfuasi wa Sheikh Ponda akimtuliza mwenzake aliyekuwa akilia baada ya hukumu kutolewa. |
| Baadhi ya wafuasi wake wakimtuliza mwenzao aliyekuwa akilia baaya hukumu ya kifungo cha mwaka mmoja kwa kiongozi wao kutolewa. |
| Baadhi ya wafanyakazi wa ofisi za jirani wakishuhudia tukio la Sheikh Ponda kutoka mahakamani kwa mwembe na shamrashamra za wafuasi wake. |
| Wafuasia wake wakifurahia jambo baada ya kiongozi wao kupewa kifungo cha nje cha mwaka mmoja nje kwa kosa la kuingia eneo lisiloruhusiwa (trespassing) |
| Sheikh Issa Ponda akiongea na waandishi wa habari nje ya jengo la mahakama ya Kisutu baada ya kupewa kifungo cha nje Dar es Salaam. |
| Akiwa chini ya ulinzi kusubiri gari lake |
| Akipanda kwenye gari |
| Wafuasi wake wakimsindikiza alipokuwa akielekea nyumbani kwake. |
| Furaha ya kifungo nje alipoonana na wafuasi wake akitoka mahakamani leo |

COMMENTS