Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kuingia ukumbini kujitambulisha ...
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM
Abdulrahman Kinana kuingia ukumbini kujitambulisha rasmi na kuzungumza
na wafanyakazi wa kada mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi, wa Makao Makuu
ya CCM mjini Dodoma, leo. Kushoto ni Katibu wa Sekretarieti ya CCM,
Anamringi Macha.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula na waziri Mkuu Majaliwa Kasim
Majaliwa wakiingia ukumbini, wakati Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John
Magufuli alipowasili kujitambulisha rasmi na kuzungumza na wafanyakazi
wa CCM Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwa amewasili ukumbini, kujitambulisha
rasmi na kuzungumza na wafanyakazi wa kada mbalimbali wa Chama Cha
Mapinduzi, wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo. Kushoto ni Makamu
Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM
Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwa tayari meza kuu kujitambulisha
rasmi na kuzungumza na wafanyakazi wa kada mbalimbali wa CCM katika
Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo
Wafanyakazi
wa Kada mbalimbali wa makao makuu ya CCM mjini Dodoma wakiwa wamesimama
kumshangilia Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli alipowasili
ukumbiji kujitambulisha rasmi na akuzungumza nao
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwa tayari meza kuu kujitambulisha
rasmi na kuzungumza na wafanyakazi wa kada mbalimbali wa CCM katika
Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo. Kushoto ni Waziri Mkuu, Majaliwa
Kasim Majaliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula na kulia
ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akitoa maneno ya utangulizi kumkaribisha
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli kujitambulisha rasmi na
kuzungumza na wafanyakazi wa CCM makao makuu ya CCM mjini Dodoma leo.
Kushoto ni Waziri Mkuu, Majaliwa Kasim Majaliwa na Makamu Mwenyekiti wa
CCM-Bara Philip Mangula

Wafanyakazi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma wakiwa tayari kumsikiliza Mwenyekiti wa CCM,Rais Dk. John Magufuli
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akijitambulisha rasmi na kuzungumza na
wafanyakazi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo. Kulia ni Katibu Mkuu
wa CCM Abdulrahman Kinana. Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana
Kushoto ni Waziri Mkuu, Majaliwa Kasim Majaliwa na Makamu Mwenyekiti wa
CCM-Bara Philip Mangula
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akijitambulisha rasmi na kuzungumza na
wafanyakazi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo. Kulia ni Katibu Mkuu
wa CCM Abdulrahman Kinana. Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana
Kushoto ni Waziri Mkuu, Majaliwa Kasim Majaliwa na Makamu Mwenyekiti wa
CCM-Bara Philip Mangula
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akijitambulisha rasmi na kuzungumza na
wafanyakazi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo. Kulia ni Katibu Mkuu
wa CCM Abdulrahman Kinana. Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana
Kushoto ni Waziri Mkuu, Majaliwa Kasim Majaliwa na Makamu Mwenyekiti wa
CCM-Bara Philip Mangula
Waziri
Mkuu Majaliwa Kasim Majaliwa akizungumza baada ya kupewa nafasi na
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli katika kikao hicho
Makamu
Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula akizungumza baada ya kupewa
nafasi na Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli katika kikao hicho
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimshukuru Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk.
John Magufuli baada ya kuzungumza kwa kina na wafanyakazi wa Makao
Makuu ya CCM mjini Dodoma leo
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimianana wafanyakazi mbalimbali wa
Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma baada ya kujitambulisha rasmi kwaona
kuzungumza nao leo. Zinazofuata ni wafanyakazi hao kupata chakula cha
mchana na Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli. Katika hali isiyo ya
kawaida, Dk. Magufuli (kulia ) aliwatanguliza wafanyakazi na baadhi ya
viongozi kuchukua chakula kabla ya yake ili kuonyesha ukarimu.
Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiwaandaa watfanyakazi kupigwa picha ya pamoja na Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli, akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma baada ya kujitambulisha rasmi na kuzngumza nao, leo Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk John Magufuli (kulia) akiwaaga wafanyakazi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, baada ya kujitambulisha rasmi na kuzungumza nao leo.zifuatazo ni picha za wafanyakazi waliokuwa ukumbini kabla ya Dk. Magufuli kuingia ukumbini. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO.

COMMENTS