WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI ZA NYAMIONGO, MWISENGE NA MAKOKO WAPATIWA ELIMU NA MAAFISA KUTOKA OFISI YA BUNGE.

Mk urugenzi Msaidizi na Mratibu wa Dawati la Bunge la Afrika kutoka Ofisi ya Bunge, Ndg. Lawrence Makigi, akizungumza  jambo wakati ak...




Mkurugenzi Msaidizi na Mratibu wa Dawati la Bunge la Afrika kutoka Ofisi ya Bunge, Ndg. Lawrence Makigi, akizungumza  jambo wakati akitoa Elimu kwa Shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Tanzania kwa Shule za Sekondari za Nyamiongo, Mwisenge na Mokoko ikiwa ni mwendelezo wa utoaji wa elimu kwa Shule za sekondari zilizopo Manispaa ya Musoma, katika tukio lililofanyika leo katika Shule ya Sekondari Mwisenge iliyopo Manispaa ya Musoma.





Afisa wa Bunge, kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma Ndg. Bakari kishoma akizungumza  wakati akitoa Elimu kwa Shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Tanzania kwa Shule za Sekondari za Nyamiongo, Mwisenge na Mokoko ikiwa ni mwendelezo wa utoaji wa elimu kwa Shule za sekondari zilizopo Manispaa ya Musoma, katika tukio lililofanyika leo katika Shule ya Sekondari Mwisenge iliyopo Manispaa ya Musoma.



Wanafunzi wa Shule za Sekondari za Nyamiongo, Mwisenge na Mokoko zilizopo Manispaa ya Musoma wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi na Mratibu wa Dawati la Bunge la Afrika kutoka Ofisi ya Bunge, Ndg. Lawrence Makigi akizungumza  wakati akitoa Elimu kwa Shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Tanzania ikiwa ni mwendelezo wa utoaji wa Elimu kwa Shule za Sekondari zilizopo Manispaa ya Musoma, katika tukio lililofanyika leo katika Shule ya Sekondari Mwisenge iliyopo Manispaa ya Musoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI ZA NYAMIONGO, MWISENGE NA MAKOKO WAPATIWA ELIMU NA MAAFISA KUTOKA OFISI YA BUNGE.
WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI ZA NYAMIONGO, MWISENGE NA MAKOKO WAPATIWA ELIMU NA MAAFISA KUTOKA OFISI YA BUNGE.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjPUF5wYi1zDYjlUqwfvRMsRc-jB1WWYiEz8gxNSym0EKz_NOOrUS7vX1u3ooAuJ2-KtAUfTdRQNtreA2MBiUQAhzj6wJoSndrvVkLdPRQKaVMz8WYXFR_JNVjHeIJabAQubVqkaF21rj8/s640/_T6A8268.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjPUF5wYi1zDYjlUqwfvRMsRc-jB1WWYiEz8gxNSym0EKz_NOOrUS7vX1u3ooAuJ2-KtAUfTdRQNtreA2MBiUQAhzj6wJoSndrvVkLdPRQKaVMz8WYXFR_JNVjHeIJabAQubVqkaF21rj8/s72-c/_T6A8268.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/01/wanafunzi-wa-shule-za-sekondari-za.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/01/wanafunzi-wa-shule-za-sekondari-za.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy