Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali Waziri mstaafu na mwanasiasa mkongwe mzee George Kahama leo aliyelazwa katika hospita...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali leo Bwana Anthony Komba aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam. |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Mama Janet Kahama mke wa Mzee George Kahama baada kumtembelea mgonjwa. |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na masista alipohitimisha ziara yake kwa wagonjwa katika hospitali hiyo. |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Daktari Mohamed Hanee wa Hospital hiyo baada ya kumaliza ziara yake ya kuwaona wagonjwa leo katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam. |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Waziri mstaafu na mwanasiasa mkongwe mzee George Kahama leo aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam baada ya kumjulia hali. |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Abdulkarim Mudhihiri, mdogo wa Mhe. Mudhihiri Mudhihiri (kushoto) alipomjulia hali leo katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam. |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa pole Daudi Danda alipotembelea wagonjwa katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam. |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Daudi Danda alipotembelea wagonjwa katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam. |
Mhe Majaliwa akiwatakia mwaka mpya mwema na heri ya kuonana. |
COMMENTS